GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sio propaganda kweli?
 
Ila uchinjani wa wanyama ni jambo la kikatili na lisilo la kiungwana hata kidogo
 
Si wanasema anakubalika?au hao ni wapinzani wake Kisasa?Sasa Bwana!No reforms no election.
 
Inafurahisha sana. Masikini wanashangilia anguko la tajiri ambae ataendelea kula kuku kwa mrija huku wao wakiendelea kushindia mihogo na kumnufaisha huyo tajiri mwingine atakae kuja.

Kosa yote ila usikose AKILI
 
Ss NI NO REFORMS NO ELECTION NDIO DAWA PEKEE MENGINE YOTE NI UONGO NA USHENZI MTUPU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…