Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Naomba kufahamu au ndio kauli ya Kishimba (Wasomi wengi wanajua kusoma na kuandika ila hawako na Maarifa)
Mwananchi wa darasa la saba yupo kijijini analima mpunga, mahindi na kufuga ng"ombe na maisha yanaenda.
Huyu mwenye degree yupo anaishi Masaki kila siku anapiga simu home bado natafuta ajira.
Hivi kipi bora kuwa na watoto wajinga familia ikaepuka umaskini wa kipato au kuwa na watoto wenye akili familia ikawa maskini wa kipato? Naomba jibu kama , elimu ya kitanzania itaendelea kuwa hivi kumwandaa msomi kwamba akimaliza atapata ajira na akimaliza anaanza kuangaika kutafuta ajira.
USHAURI.
VYUO VISISAJIRI KAMA HAVINA UHAKIKA WA AJIRA📌🙏