Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Kwani watu ambao hawajasoma wapo kijiji, wamekuwa matajiri?Elimu inatulisha ujuzi lakini pia inatulisha ujinga wa kugoma kuanza chini. Hapo ndipo tunapofeli degree holders. Elimu ya chuo inatufundisha kwamba we worth a lot more than kuwa mkulima, more than kutembeza juice ukaingiza 30k a day, Yan imetulisha ujinga ambao ni mgumu kuutoa kichwani. Ni ujinga unaotuambia mm sistahili kufanya kazi ndogo km Ile. Watu watanionaje na kadhalika. In the end ndo tunakuwa maskini zaidi na zaidi.