Wananchi wa darasa la saba ndo wanaonekana wako na akili kuzidi hawa wenye degree, nini tatizo?

Kwani watu ambao hawajasoma wapo kijiji, wamekuwa matajiri?
 
Hao watu wasiozidi wawili ndiyo kielelezo cha jamii nzima ya watu walioishia la saba?
 
Fact kabisa.
 
Piga kazi kibarua kisije kikaota nyasi kijana... elimu huna akili huna maarifa huna we unanini😁😁😁
Kwahiyo sheria, katiba, wanaondesha ndege, huu mtandao unaotumia JF, wanaotengeza software, simu unayotumia, madawa ya ng'ombe wako n.k waliofanya yote haya ni watu ambao wameishia darasa la 7?
Kweli darasa 7 wanaakili sana.
Hongera mkuu
 
We hapo umetengeneza nini. Na ujaishia darasa la saba. Unaedit comment 😁😁😁
 
We hapo umetengeneza nini. Na ujaishia darasa la saba. Unaedit comment 😁😁😁
Hapa unatafuta faraja ya moyo wako. Utasikia huyo amesoma ana nini? Bora mimi niliyeishia darasa la 7.
πŸ“πŸ“·πŸŽΆπŸŽΆπŸŽΆπŸ“ΊπŸŽ€πŸŽ΅πŸŽ§
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…