Wananchi wa Goba wakarabati barabara wenyewe, Serikali za Mtaa washawishi bango litolewe

Wananchi wa Goba wakarabati barabara wenyewe, Serikali za Mtaa washawishi bango litolewe

Waswahili huwa hamna tabia ya kujenga nchi wenyewe bali kila kitu mnasubiri Serikali. Hawa wa Goba wameona miradi haiendi au wamesubiri sana na labda hela zimeishapigwa.

Hongera kwao hata mimi kuna siku niliona Mashimo mbele ya nyumba na halmashauri hawana Habari
Niliyafukia kwa hela zangu.

Kuna wakati kujitolea kwa faida ya wengi ni vizuri wala sio kosa kisa tu eti ni kazi ya serikali. Kwa hiyo mpaka watu wafe?

Tena mjufunze kuwa na Charities nyingi. Kuna nchi matajiri lakini wana Charities tunazochangia kwa kupata maendeleo au hata utafiti wa madawa

Big up kwao
Hivi majuzi nilistaajabu wakaxi wa Kijiji kimoja , chenye wakulima wakubwa nawafanya Biashara wakilalamika mbele ya Mkuu wa Mkoa, kuwa Choo Cha Shule ya Sekondari pale Kijijini kinavuja!
 
Hivi majuzi nilistaajabu wakaxi wa Kijiji kimoja , chenye wakulima wakubwa nawafanya Biashara wakilalamika mbele ya Mkuu wa Mkoa, kuwa Choo Cha Shule ya Sekondari pale Kijijini kinavuja!
Mkuu acha utani basi
Au kimetapika?
Kijijini unajua kiswahili kilienda baadae sana
Unakutana na mtu anakuambia atakuja JANA
 
Back
Top Bottom