Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Jamaa muongo sana.Kijana mwenye mvi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa muongo sana.Kijana mwenye mvi?
Anatuona wote ni wauza karanga kijiweni.Unajua nimeishia wapi kusoma? Pale uliposema jamaa kawasaidia vijana milioni moja wa wilaya ya Hai......
Ukipata nafasi , kumuona Dr Nchimbi,atakuambia kijana ni nani na anatakiwa awe na umri ngani ndani ya CCM.Look here,chap,miaka 35 siyo kijana huyo.That is an old fella.🤣🤣🤣🙏
Serikali yenyewe haina uwezo wa kutengeneza ajira million moja..Hivi watu milioni moja unawajua wewe? Population ya hilo jimbo tu haifikii hata robo ya hapo. Hata kama umelipwa kumpamba mpambe kwa uhalisia.
Sema katoa pesa zake akitaka madaraka na kanunua form. Hakuna aliyechangia pesa yeyote significant hapo, anapambwa hivyo ili kuonyesha watu watu wanamkubali
Nchimbi mwenyewe ukimuuliza ataona aibu.Alikuwa na miaka 35 halafu ni mwenyekiti UVCCM.That was more than horrible.Ukipata nafasi , kumuona Dr Nchimbi,atakuambia kijana ni nani na anatakiwa awe na umri ngani ndani ya CCM.
Kumbe vibweka vyote hivyo ni kwa ajili ya Freeman Mbowe?😂😂😂500 M hazijatoka kwa wanànchi. Wenye akili wanaelewa. Mbowe anafanya watu wanaharisha mchana na usiku.
Safari hii Mbowe hagombei huko, anagombea Iringa mjini.
Watakutana na kijana msomi Professor Urassa ukingoni, ila huyu amehudumu miaka 5.Saashishaa Mafuwe hamumtaki Tena?
Professor Bernard Urassa?Wewe Professor Urassa uliyeandaa hii mbona huna tofauti na Professor Maji Marefu?!
Kwanza tambua Kuna mtu maarufu sana mwenye jina la Urassa ambaye wewe " Urassa wa Ubunge" huwezi kumfunika!
Huyo Urassa ninaye mzungumzia alikuwa Mwalimu wangu wa Entrepreneurship ( Ujasiriamali) kati ya mwaka 2002 hadi 2005 na alikuwa ni Doctor by that time .Ninamzungumzia Dr.Goodluck Urassa ,sijui kama ni Professor sasa na inasemekana ndiye founder wa taasisi ya fedha EFL yenye Ghorofa lake pale Sinza Africa Sana Barabara ya Shekilango karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii.
Goodluck Urassa ni mtu makini sana na sikuwahi kuiona kama ana hulka za kisiasa!
Sasa wewe Professor Urassa wa Ubunge Hai unasema umetengeneza ajira milioni moja!!!😁😁😁
Hivi wewe Professor Urassa wa Ubunge hivi unajua kwamba Mo Dewji pamoja na Utajiri wake wa karibia Dola za Kimarekani Bilioni moja ( 1 USD billion) na miradi yake yote hapa Tanzania hajaweza kutengeneza ajira hizo milioni moja ambazo wewe umetengeneza!!!
Hivi unajua kwamba Rais Samia pamoja na Uchawa unaomzunguka katika kuchamgiwa fedha za kuchukulia fomu ya Urais hapo mwakani bado hajafikisha milioni 500 ambazo wewe tayari umechangiwa kuchukulia fomu ya Ubunge Hai hapo mwakani!!!🤣🤣🤣.
Hivi wewe ni Professor wa kitu gani ??
Jieleze vizuri kwani Chama changu CCM kinajua namna nzuri ya ku- deal na "Maprofesa" wa dizaini yako ! Utapeli utapeli wa kisiasa ndani ya CCM huwa hauna nafasi na utapigwa asubuhi sana ktk kura za maoni!!
Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama, Machame, Nsara, Nkuu, Boma Ng'ombe, Kwasadala, Uroki, Naruku, Kware, Lemira, na Lukani wameungana kwa pamoja katika hatua hii muhimu.
Professor Urassa, ambaye ni msomi na kijana mwenye uwezo, anapanga kuwania nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Huu ni mpango wake wa kwanza wa kuingia katika siasa, na umepokelewa kwa shauku na watu wa Hai.
Ni muhimu kutambua kwamba Professor Urassa amekuwa na mchango mkubwa katika jamii, akisaidia zaidi ya vijana milioni moja kupata ajira ndani na nje ya nchi katika eneo la Hai. Hali hii inadhihirisha jinsi ajira ilivyokuwa suala muhimu katika eneo hilo, na sasa kuna matumaini ya kuboresha hali hiyo.
Hatua hii ya kumchangia Professor Urassa inaashiria mabadiliko chanya katika siasa za eneo la Hai. Wananchi wanatarajia kuwa na kiongozi ambaye atawasimamia na kuleta maendeleo, hasa katika masuala ya ajira na uchumi. Kwa mujibu wa taarifa, Professor Urassa ana mipango thabiti ya kuendeleza shughuli za uchumi na kuboresha maisha ya watu wa Hai.
Katika kipindi hiki, ni wazi kwamba watu wa Hai wanataka kuona kiongozi ambaye atawasilisha sauti zao na kuleta mabadiliko yanayohitajika. Wananchi wanapojitolea kwa njia hii, wanadhihirisha kutaka kwao kiongozi ambaye anaweza kuleta maendeleo endelevu.
Huu ni mwanzo mzuri kwa vijana wa eneo hilo, kwani inawapa matumaini ya kuwa na mustakabali mzuri chini ya uongozi wa Professor Urassa.
Kwa kuzingatia mchango wa Professor Urassa katika kusaidia vijana kupata ajira, ni wazi kwamba atakuwa na uwezo wa kuleta mabadiliko katika ajira na uchumi wa eneo hilo. Wananchi wanatarajia kuwa na mabadiliko katika sera za ajira na maendeleo ya jamii, ambapo vijana wataweza kupata fursa zaidi za kazi.
Katika kuelekea uchaguzi wa 2025, ni muhimu kwa wananchi wa Hai kuungana na kumpongeza Professor Urassa katika jitihada zake za kuwania ubunge. Hii ni nafasi nzuri ya kuleta pamoja nguvu za wananchi na kuunda mazingira bora ya maendeleo. Kila mwananchi ana jukumu la kuhakikisha anachangia katika maendeleo ya jamii na kuunga mkono viongozi wanaojali maslahi ya watu.
Katika kipindi hiki cha uchaguzi, ni muhimu kwa wapiga kura kufanya maamuzi sahihi ya kuwachagua viongozi ambao ni waaminifu na wana maono ya maendeleo. Professor Urassa anapojiandaa kwa ajili ya uchaguzi, ni matumaini ya wengi kwamba atatumia fursa hii kuleta mabadiliko chanya katika eneo la Hai.
Kwa hivyo, ushindi wa Professor Urassa katika uchaguzi wa 2025 unaweza kuashiria mwanzo mpya wa maendeleo katika eneo la Hai. Wananchi wanatarajia kuona mabadiliko makubwa katika masuala ya ajira, elimu, na afya, ambayo yote ni muhimu kwa ustawi wa jamii.
Kwa kumalizia, hatua ya wananchi wa Hai kumchangia Professor Urassa ni ishara ya matumaini na mabadiliko. Ni wakati wa kuangazia maendeleo ya jamii na kuhakikisha kuwa kila kijana anapata nafasi ya kufanikiwa.
Hai ni eneo lenye uwezo mkubwa, na kwa uongozi sahihi, inaweza kufikia maendeleo makubwa. Hivyo basi, ni muhimu kwa kila mmoja kushiriki katika kuhakikisha mabadiliko haya yanafanikiwa.
Mbona umepanic?Wewe Professor Urassa uliyeandaa hii mbona huna tofauti na Professor Maji Marefu?!
Kwanza tambua Kuna mtu maarufu sana mwenye jina la Urassa ambaye wewe " Urassa wa Ubunge" huwezi kumfunika!
Huyo Urassa ninaye mzungumzia alikuwa Mwalimu wangu wa Entrepreneurship ( Ujasiriamali) kati ya mwaka 2002 hadi 2005 na alikuwa ni Doctor by that time .Ninamzungumzia Dr.Goodluck Urassa ,sijui kama ni Professor sasa na inasemekana ndiye founder wa taasisi ya fedha EFL yenye Ghorofa lake pale Sinza Africa Sana Barabara ya Shekilango karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii.
Goodluck Urassa ni mtu makini sana na sikuwahi kuiona kama ana hulka za kisiasa!
Sasa wewe Professor Urassa wa Ubunge Hai unasema umetengeneza ajira milioni moja!!!😁😁😁
Hivi wewe Professor Urassa wa Ubunge hivi unajua kwamba Mo Dewji pamoja na Utajiri wake wa karibia Dola za Kimarekani Bilioni moja ( 1 USD billion) na miradi yake yote hapa Tanzania hajaweza kutengeneza ajira hizo milioni moja ambazo wewe umetengeneza!!!
Hivi unajua kwamba Rais Samia pamoja na Uchawa unaomzunguka katika kuchamgiwa fedha za kuchukulia fomu ya Urais hapo mwakani bado hajafikisha milioni 500 ambazo wewe tayari umechangiwa kuchukulia fomu ya Ubunge Hai hapo mwakani!!!🤣🤣🤣.
Hivi wewe ni Professor wa kitu gani ??
Jieleze vizuri kwani Chama changu CCM kinajua namna nzuri ya ku- deal na "Maprofesa" wa dizaini yako ! Utapeli utapeli wa kisiasa ndani ya CCM huwa hauna nafasi na utapigwa asubuhi sana ktk kura za maoni!!
Urassa ni jina la mtu au ni Ukoo?Wewe Professor Urassa uliyeandaa hii Makalla yako mbona huna tofauti na Professor Maji Marefu?!
Kwanza tambua kuwa kuna mtu mmoja maarufu sana mwenye jina la Urassa ambaye wewe " Urassa wa Ubunge" huwezi kabisa kumfunika!
Huyo Urassa ninaye mzungumzia alikuwa Mwalimu wangu wa Entrepreneurship ( Ujasiriamali) kati ya mwaka 2002 hadi 2005 pale UDSM na alikuwa ni Doctor by that time.
Ninamzungumzia Dr.Goodluck Urassa ,sijui kama ni Professor kwa sasa na inasemekana ndiye founder wa taasisi ya fedha EFL yenye Ghorofa lake pale Sinza Africa Sana Barabara ya Shekilango karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii.
Goodluck Urassa ni mtu makini sana na sikuwahi kuona kama ana hulka za kisiasa!
Sasa wewe Professor Urassa wa Ubunge Hai unasema umetengeneza ajira milioni moja!!!?😁😁😁.
Hivi wewe Professor Urassa wa Ubunge hivi unajua kwamba Mo Dewji pamoja na Utajiri wake wa karibia Dola za Kimarekani Bilioni moja ( 1 USD billion) na miradi yake yote hapa Tanzania hajaweza kutengeneza ajira hizo milioni moja ambazo wewe umetengeneza!!!?
Hivi unajua kwamba Rais Samia pamoja na machawa wanaomzunguka katika kuchangiwa fedha za kuchukulia fomu ya Urais hapo mwakani bado hajafikisha hizo milioni 500 ambazo wewe tayari umechangiwa kuchukulia fomu ya Ubunge Hai hapo mwakani!!!🤣🤣🤣.
Hivi wewe ni Professor wa kitu gani ??
Jieleze vizuri kwani Chama changu CCM kinajua namna nzuri ya ku- deal na "Maprofesa" wa dizaini yako !
Utapeli utapeli wa kisiasa ndani ya CCM huwa hauna nafasi na utapigwa asubuhi sana ktk kura za maoni
Mbona umeandika kama unakimbizwa?Huyu mtoa mada ni bonge la chawa alafu ni winga wa kisiasa
ameandika gazeti refuuu alafu pumba tupu
kijana msomi alafu unakuja kukuta kazaliwa 1960
kachangiwa milioni 500 kwani fomu inafika hata milioni 2? Kwani ameshapita katika kura za maoni ndani ya ccm hadi aende NEC kulipia fomu?
katoa ajira milioni moja? Kwani wilaya ina raia wangapi jumla
alafu ubunge msifanye kama hisani au kumpa ili iwe shukrani kwa jambo fulani, kwa sababu hii ndio maana tunapata wabunge ndio wasiofaa na wasiojua wameenda bungeni kufanya nini