Pre GE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama ni huyu urasa wa EFL mbona hana huo muda baba wa watu?
 
Serikali yenyewe haina uwezo wa kutengeneza ajira million moja..
 
500 M hazijatoka kwa wanΓ nchi. Wenye akili wanaelewa. Mbowe anafanya watu wanaharisha mchana na usiku.
Safari hii Mbowe hagombei huko, anagombea kwingine.
 
500 M hazijatoka kwa wanΓ nchi. Wenye akili wanaelewa. Mbowe anafanya watu wanaharisha mchana na usiku.
Safari hii Mbowe hagombei huko, anagombea Iringa mjini.
Kumbe vibweka vyote hivyo ni kwa ajili ya Freeman Mbowe?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe Professor Urassa uliyeandaa hii mbona huna tofauti na Professor Maji Marefu?!
Kwanza tambua Kuna mtu maarufu sana mwenye jina la Urassa ambaye wewe " Urassa wa Ubunge" huwezi kumfunika!
Huyo Urassa ninaye mzungumzia alikuwa Mwalimu wangu wa Entrepreneurship ( Ujasiriamali) kati ya mwaka 2002 hadi 2005 na alikuwa ni Doctor by that time .Ninamzungumzia Dr.Goodluck Urassa ,sijui kama ni Professor sasa na inasemekana ndiye founder wa taasisi ya fedha EFL yenye Ghorofa lake pale Sinza Africa Sana Barabara ya Shekilango karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii.
Goodluck Urassa ni mtu makini sana na sikuwahi kuiona kama ana hulka za kisiasa!
Sasa wewe Professor Urassa wa Ubunge Hai unasema umetengeneza ajira milioni moja!!!😁😁😁
Hivi wewe Professor Urassa wa Ubunge hivi unajua kwamba Mo Dewji pamoja na Utajiri wake wa karibia Dola za Kimarekani Bilioni moja ( 1 USD billion) na miradi yake yote hapa Tanzania hajaweza kutengeneza ajira hizo milioni moja ambazo wewe umetengeneza!!!
Hivi unajua kwamba Rais Samia pamoja na Uchawa unaomzunguka katika kuchamgiwa fedha za kuchukulia fomu ya Urais hapo mwakani bado hajafikisha milioni 500 ambazo wewe tayari umechangiwa kuchukulia fomu ya Ubunge Hai hapo mwakani!!!🀣🀣🀣.
Hivi wewe ni Professor wa kitu gani ??
Jieleze vizuri kwani Chama changu CCM kinajua namna nzuri ya ku- deal na "Maprofesa" wa dizaini yako ! Utapeli utapeli wa kisiasa ndani ya CCM huwa hauna nafasi na utapigwa asubuhi sana ktk kura za maoni!!
 
Huyu mtoa mada ni bonge la chawa alafu ni winga wa kisiasa
ameandika gazeti refuuu alafu pumba tupu

kijana msomi alafu unakuja kukuta kazaliwa 1960

kachangiwa milioni 500 kwani fomu inafika hata milioni 2? Kwani ameshapita katika kura za maoni ndani ya ccm hadi aende NEC kulipia fomu?

katoa ajira milioni moja? Kwani wilaya ina raia wangapi jumla

alafu ubunge msifanye kama hisani au kumpa ili iwe shukrani kwa jambo fulani, kwa sababu hii ndio maana tunapata wabunge ndio wasiofaa na wasiojua wameenda bungeni kufanya nini
 
Saashishaa Mafuwe hamumtaki Tena?
Watakutana na kijana msomi Professor Urassa ukingoni, ila huyu amehudumu miaka 5.

Ni wazi kwamba mabadiliko ya kimtizamo katika siasa ni muhimu, hasa kwa vijana. Kutafuta kijana Msomi ka Professor Urassa, ambaye anaweza kuleta mabadiliko na kuwakilisha sauti za vijana ni hatua muhimu. Hapa kuna baadhi ya mawazo juu ya hali hii,ambayo Professor Urassaatasaidia:

1. Ushirikishwaji wa Vijana:
Ni muhimu vijana washiriki kwa njia ya moja kwa moja katika siasa. Hii inaweza kufanyika kwa kuunda vikundi vya vijana ndani ya CCM ambavyo vitatoa mawazo na pendekezo kwa viongozi.

2. Elimu ya Siasa:
Kuandaa warsha na mafunzo kwa vijana kuhusu siasa, sera, na umuhimu wa kujihusisha na uamuzi wa kisiasa. Hii itawasaidia kuelewa mchakato wa kisiasa na kuwa na sauti katika maamuzi.

3. Ushirikiano na Viongozi:
Vijana wanapaswa kuanzisha ushirikiano na viongozi wa zamani kama Professor Urassa ili kujifunza kutoka kwao, lakini pia kutoa mawazo mapya.

4. Mabadiliko ya Mfumo:
Kuweka mkazo kwenye mfumo wa uchaguzi na uongozi ndani ya CCM. Vijana wanahitaji nafasi zaidi katika nafasi za uongozi ili waweze kuleta mabadiliko wanayotaka.

5. Kupunguza Kikwazo cha Umri: Kukabiliana na vikwazo vya umri katika uongozi na kuhamasisha viongozi wa zamani kuwapokea vijana katika nafasi za juu.

Kwa ujumla, ni wakati wa vijana kama Professor Urassa, kuchukua hatua na kuleta mabadiliko ya kweli katika siasa za Hai, ili kuhakikisha kwamba sauti za vijana zinashughulikiwa na kuleta maendeleo katika jamiiya watu wa Hai.
 
Professor Bernard Urassa?
 


Ni muhimu kutambua kwamba Professor πŸ†˜πŸ†˜Urassa amekuwa na mchango mkubwa katika jamii, akisaidia zaidi ya vijana millions moja βŒβŒβŒβŒβŒβŒβ­•οΈβŒβ­•οΈβ­•οΈβ­•οΈβŒβ­•οΈπŸš«β­•οΈ kupata ajira ndani na nje ya nchi katika eneo la Hai.πŸ†˜πŸ†˜πŸš¨βŒβŒβŒβŒβŒβŒβŒβŒβŒβŒβŒ

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† Acha uongo ww mchanga, unajua ajira mil 1 ww? Hata hiyo mil 500 itakuwa uongo kabisa, as long umedanganya eti kasaidia zaidi ya ajira mil 1 of which ni uongo mkubwa sanaaa, wilaya ya hai tu hata watu mil 1 haifiki, wewe unasema kasaidia ajira mil 1, hata hizo mil 500 hakuna aliye changa
 
Mbona umepanic?
 
Wewe Professor Urassa uliyeandaa hii Makalla yako mbona huna tofauti na Professor Maji Marefu?!

Kwanza tambua kuwa kuna mtu mmoja maarufu sana mwenye jina la Urassa ambaye wewe " Urassa wa Ubunge" huwezi kabisa kumfunika!

Huyo Urassa ninaye mzungumzia alikuwa Mwalimu wangu wa Entrepreneurship ( Ujasiriamali) kati ya mwaka 2002 hadi 2005 pale UDSM na alikuwa ni Doctor by that time.

Ninamzungumzia Dr.Goodluck Urassa ,sijui kama ni Professor kwa sasa na inasemekana ndiye founder wa taasisi ya fedha EFL yenye Ghorofa lake pale Sinza Africa Sana Barabara ya Shekilango karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii.

Goodluck Urassa ni mtu makini sana na sikuwahi kuona kama ana hulka za kisiasa!

Sasa wewe Professor Urassa wa Ubunge Hai unasema umetengeneza ajira milioni moja!!!?😁😁😁.

Hivi wewe Professor Urassa wa Ubunge hivi unajua kwamba Mo Dewji pamoja na Utajiri wake wa karibia Dola za Kimarekani Bilioni moja ( 1 USD billion) na miradi yake yote hapa Tanzania hajaweza kutengeneza ajira hizo milioni moja ambazo wewe umetengeneza!!!?

Hivi unajua kwamba Rais Samia pamoja na machawa wanaomzunguka katika kuchangiwa fedha za kuchukulia fomu ya Urais hapo mwakani bado hajafikisha hizo milioni 500 ambazo wewe tayari umechangiwa kuchukulia fomu ya Ubunge Hai hapo mwakani!!!🀣🀣🀣.

Hivi wewe ni Professor wa kitu gani ??
Jieleze vizuri kwani Chama changu CCM kinajua namna nzuri ya ku- deal na "Maprofesa" wa dizaini yako !

Utapeli utapeli wa kisiasa ndani ya CCM huwa hauna nafasi na utapigwa asubuhi sana ktk kura za maoni.
 
Urassa ni jina la mtu au ni Ukoo?
Kuwa mpole!
 
Huyo kijana msomi mwambie atapata kiharusi pale kwenye kura za wajumbe huenda hata kura 1 asipate, hizo 500m kama hana shida nazo akanunue hatifungani za serikali au uwekezaji mwingine
 
Mbona umeandika kama unakimbizwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…