Pre GE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo kijana msomi mwambie atapata kiharusi pale kwenye kura za wajumbe huenda hata kura 1 asipate, hizo 500m kama hana shida nazo akanunue hatifungani za serikali au uwekezaji mwingine
Ushauri wako ni mzuri ila umekuwa overtaken by time!
 
longolongo kibao!!
Hai ina watu Million 1?
Na hapo umesema ni Vijana tu.
Vijana Million 1?
Acha ujinga, ndugu Chawa!!
 
According to the 2022 census, the population of the Hai District was 240,999.

Hapa unajumlisha Vijana, Wazee na Wote waliobakia.

Hiyo Milioni 1 inatoka wapi?

Uchawa wako haulipi.
Idadi ya Vijana Nchini ni sawa na Asilimia 34.5 ya Watanzania wote (Sensa 2022), hivyo ushiriki wao katika Michakato ya Uchaguzi (Kugombea Nafasi mbalimbali na Kupiga Kura) ni hatua muhimu katika kuleta Mabadiliko.
Professor, amesaidia vijana wengi sana Tanzania, kwenye ajira rasmi na zisizo rasmi.
 
Sawa, kumbe hata ulichoandika hukijui.

Huyo Prof wako wa Mchongo hatashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…