Pre GE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani leo ndio umedhihirisha umbumbumbu na ujinga wako uliokujaa kichwani mwako. Unafahamu ajira millioni moja? Tapeli mkubwa wewe.
 
Ungeanza kwa kutueleza huyu Prof ni nani, alikua wapi na mpaka sasa kawasaidia Watanzania kwa kiasi gani. Kitengo cha kubaini fedha haramu kinapaswa kiwe kinachunguza matukio ya namna hii, kuna njia nyingi za kutakasa fedha haramu. Yani wananchi wanaolalamikia kodi za elfu 10 na 20 gafla wanachanga mil.500!
 
Yaani wananchi wa Hai wamchangie kada wa CCM shilingi milioni 500 ili akachukue fomu ya kugombea ndani ya CCM?
Hivi mleta mada unaijuia milioni 500 wewe?
Wachaga na CCM ni wapi na wapi?
Urassa mwenyewe kaja kujipa promo. Si unajua JF ilivyo?😀😀😀

Mi nipo Bomang'ombe hapa ila sijaona hao wanachi wakichangia pesa hizo. Tena 500M?
 
Hili ni tapeli tu wala hakuna kitu kama hicho
 
Unajua nimeishia wapi kusoma? Pale uliposema jamaa kawasaidia vijana milioni moja wa wilaya ya Hai kupata ajira .......
Mkoa wa Kilimanjaro una jumla ya watu 1.8M kwa Wilaya zote 6, huyu tapeli anadanganya akiwa zake huko Arusha au Dar
 
Viongozi vijana Wana mambo mengi Hai inataka mtu mzima aliyetulia kama Saashishaa .
 
Upo sahihi hata mi weekend nilikuwa Masama wala hakuna kitu cha aina hiyo ni utapeli na upumbavu
Ulikuja masama kutalii nini? Uliamua kuwaacha Hezbullah na HAMAS ukaja Masama mheshimiwa PM?

Hao chawa wanajidanganya sana. Yaani wananchi tena wachaga wachangie 500M ili jamaa awe mbunge?

Hivi huyu mleta huu uzi ametuchukuliaje sisi wana JF?
 
Kwa macho ya kawaida mtu ataona unamfagilia huyo Prof ila kwa jicho la ndani unataka achinjiwe mbali na chama chake ili kuwarahisishia njia wale unaowapenda kwa dhati. Kwamba hujui kuwa taratibu za CCM haziruhusu mtu Kutangaza Nia kabla ya muda? Hata huyo Prof akiulizwa kuhusu haya uloandika atayakana mchana kweupe kama kweli anaitaji kuwa salama ndani yachama chake
 
 
...naona ni msimu wa kuwachangia watu kuchukua fomu...MTU ambaye hawezi hata kujichukulia fomu akipewa nafasi atataka kwanza kujineemesha...hafai
 
...naona ni msimu wa kuwachangia watu kuchukua fomu...MTU ambaye hawezi hata kujichukulia fomu akipewa nafasi atataka kwanza kujineemesha...hafai
Alikuwa hapendi ubunge,wananchi mamempigia magoti,kumuomba na amekibali
Ni mpenda maendeleo kama saa100
 
Nik
Alikuwa hapendi ubunge,wananchi mamempigia magoti,kumuomba na amekibali
Ni mpenda maendeleo kama saa100
Nikwamba aliyepo saivi amezidiwa na mtqngulizi wake katika kufanya maendeleo kiasi kwamba hatakiwi kupewa mitano tena?.Au utaratibu wa hilo Jimbo nikupeana mhula mmojammoja
 
Nik

Nikwamba aliyepo saivi amezidiwa na mtqngulizi wake katika kufanya maendeleo kiasi kwamba hatakiwi kupewa mitano tena?.Au utaratibu wa hilo Jimbo nikupeana mhula mmojammoja
Hilo Jimbo, sio Jimbo la viti maalum!
Unapewa mitano,ukimaliza,unarudi kwenye kazi Yako ya awali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…