Pre GE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani wananchi wa Hai wamchangie kada wa CCM shilingi milioni 500 ili akachukue fomu ya kugombea ndani ya CCM?
Hivi mleta mada unaijuia milioni 500 wewe?
Wachaga na CCM ni wapi na wapi?
Yaani vitu vingine vinachekesha kweli kwanza nani anamjua na hizo ajira kazitowa wapi uchagani mtu akuchangie wakati watia nia ya kugombea wako zaidi ya 20 jimbo la hai ni gumu sana hasa upande wa ccm mtia nia anagaramia sana sii mchezo
 
kwani Mbunge wa sasa wa Hai ni nani,Wachama gani na anasemaje?
 
Only mam Only Tanzania tena Tanzania bara mambo haya, wananchi wenyewe wenye shida huku prof akiwa mahela kide kide lkn anaongezewa hela, mwisho wa siku anakwaa ubunge anatumia pesa waliompa kushinda bar huku wananchi walisugua kea
 
Kwani Profesa Ndakidemi ameleta TIJA gani hapo Moshi Rural?..tuanzie hapo kwanza
 
Hapa umeandika vitu muhimu sana.
 
Wasalimie hapo mtaa wa Bomani
Vikao vinafanyika ndani ya Hai na nje ya mkoa kuhakikisha Professor, amefanikiwa! Fedha zinakusanywa online, kwa wapenda maendeleo ya Hai.
Saa100 = Professor
 
Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025, sio kwamba Professor hana uwezo wa kununua fomu.


Wananchi wamechoshwa na siasa za Mbunge aliyeko pamoja na Mbowe.


Sasa wananchi wameamua kuja namkombozi wao
 
Duh vijana zaidi ya milioni moja kupata ajira ndani na nje ya nchi-umeandika ukimaanisha hawa vijana ni wa Hai. Sasa Hai ina idadi gani ya watu ukiondoa hao vijana zaidi ya milioni 1?
 
Duh vijana zaidi ya milioni moja kupata ajira ndani na nje ya nchi-umeandika ukimaanisha hawa vijana ni wa Hai. Sasa Hai ina idadi gani ya watu ukiondoa hao vijana zaidi ya milioni 1?
Nchi nzima ajira ni tatizo kibwa. Kipau mbele ni Hai, ila atasaidia nchi nzima kupata idadi hiyo ya vijana.
 
Amesaidia zaidi ya vijana milioni moja wa eneo la Hai kupata ajira. Hivi hilo jimbo lina idadi gani ya watu hadi wawepo vijana milioni moja. Na pia hizo ajira milioni moja amezitoa wapi?
 
Kwani fomu ya kugombea ubunge inauzwa sh. ngapi mpaka wachange milioni 500?

Pia niwaulize wananchi mliochanga milion 500 kwa ajili ya kununua fomu ya mgombea wenu mna uhakika kuwa mitaa yenu yote ina maji ya kutosha?

umeme haukatiki?, shule zenu zina madawati na madarasa ya kutosha?,

vijiji vyenu vyote vina zahanati na dawa za kutosha?, barabara zenu zote katika vijiji na vitongoji vyenu zinapitika nyakati za mvua kubwa? au zote zina lami?,

vijiji vyenu vyote hakuna daraja bovu au la miti linalotishia maisha ya wananchi hasa wanafunzi wanavyokwenda shule?, nyakati za mvua?,

shule zenu zote za sekondari katika kata zenu zina maabara na vifaa vya kutosha kwa ajili ya masomo kwa vitendo? mna waalimu wa kutosha katika elimu msingi na sekondari?
 
Inakuwaje wananchi wachangie Kwa mtu kutoka chama Cha watekaji na UUWAJI wa WATU kama mzee kibao,soka n.k?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…