Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Inawezekana hawatumii sukari sana; kuna nchi nyingine sukari siyo kitu cha muhimu kabisa. Tatizo la sukari Tanzania ni tatizo sugu sana tangu hata mimi ningali mtoto hadi leo nazeek sukari ni hadimu muda wote. Dawa ni kuongeza uzalishaji wa ndani. Wakati wa utoto wetu sukari ilikuwa inazaliswa Kilombero tu; Nyerere akaongeza viwanda vya Mtibwa na Kagera mwanzoni mwa miaka ya sabai; nadhani mwaka 1975 au 1976 hivi. Mpaka Bakhresa anafungua kiwanda kingine Bagamoyo hakujawahi kuwepo kwa juhudi za kujenga viwanda vinginbe licha ya kuwepo walaji wengi.Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari , Balo mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni .
Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari , Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza .
Mungu ibariki Malawi .
Swali lako halihusiani na madaHotel yako ya nyota 5 bado unayo au uliuza
Kwamba hawatumii sukari sana , sidhaniInawezekana hawatumii sukari sana; kuna nchi nyingine sukari siyo kitu cha muhimu kabisa. Tatizo la sukari Tanzania ni tatizo sugu sana tangu hata mimi ningali mtoto hadi leo nazeek sukari ni hadimu muda wote. Dawa ni kuongeza uzalishaji wa ndani. Wakati wa utoto wetu sukari ilikuwa inazaliswa Kilomnbelo tu; Nyerere akaongeza viwanda vya Mtibwa na Kagera mwanoni mwa miaka ya sabai; nadhani mwaka 1975 au 1976 hivi. Mpaka Bakhresa anafungua kiwanda kingine Bagamaoyo hakujawahi kuwepo kwa juhudi za kujenga viwanda vinginbe licha ya kuwepo walaji wengi.
Na hata Sukari ya Zambia pia ipo, si ni majirani zetu, kwan kunashida gani 🐒Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari , Balo mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni .
Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari , Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza .
Mungu ibariki Malawi .
Hakuna visungura bongo kushinda vyaona hata Sukari ya Zambia pia ipo, si ni majirani zetu, kwan kunashida gan 🐒
na by the way na wao wananufaika na konyagi na visungura kutoka Tz, kuna tatizo apo.
Wao wamepata soko la sukari na sie tumepata soko la konyagi na visungura 🐒
😆😆😆😆Wananchiiiii tumepigwajeee hapoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Yaan mpk tusemeeee ...View attachment 2908568
Mkuu Mwezi wa Ramazani unakuja hebu tuma Semi moja huku Sanga Mwalugesha.Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari , Balo mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni .
Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari , Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza .
Mungu ibariki Malawi .
C wataalamuu wanasema ss mkuu baada ya kuhadimikaa ...Kila siku tunaambiwa sukari inaua figo, inasababisha magonjwa ya moyo, lakini bado tunalalamika kukosekana kwa sumu hiyo , kwa nini tusitumia fursa hiyo kusema sukari sasa basi?
Inasikitishaa sana mkuu n vile tu hatuna namnaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hahaa, Sanga Mwalugesha. Umewahi kufika huko?Mkuu Mwezi wa Ramazani unakuja hebu tuma Semi moja huku Sanga Mwalugesha.
Muulize Sauli kilichomkuta miaka ile , Mamlaka za Tanzania zinaona wivu mno sukari ya malawi ikija TzBwashee, wewe si ni mfanyabiashara wa kimataifa, kwa nini usichangamkie fulsa na kuingiza sukari toka Malawi na kuuza hapa nchini? Hata ukitosheleza kanda ya Nyanda za juu kusini peke yake utakuwa umeokoa jahazi!
Huoni Rosttamu anachangamkia fulsa kwenye kila ziara ya rais na yeye yupo? Au unadhani fulsa za kibiashara huwa zinakujaje?
Kwani hoteli hazitumii sukari?Swali lako halihusiani na mada
Kiwanda cha sukari cha Malawi ni cha kampuni ya Illovo pacha wa kampuni ya Illovo Kilombero.Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari , Balo mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni .
Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari , Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza .
Mungu ibariki Malawi .