PLAN B VERYFIED
Senior Member
- Aug 10, 2023
- 169
- 589
Huku Lusaka tunakula Raha tu na sukari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi desderia ni nyota 5?Hotel yako ya nyota 5 bado unayo au uliuza
Unachosema ni kweli watu huko hutumia sukari ya kutoka MalawiSasa unanipinga au unaniunga mkono ? utafiti wanafanya wasiojua , mimi niliyezaliwa na kukulia maeneo hayo natafiti kipi tena ?
Serikali/utawala wa ccm wanapenda kuona raia wake wakipata shidaTanzania wanaishi level ya chini sana !
Ndio maana kila siku naandika hawa CCM sio binadamu.Serikali/utawala wa ccm wanapenda kuona raia wake wakipata shida
Wanaenjoyy basi
Ova
Jikite kwenye madaHotel yako ya nyota 5 bado unayo au uliuza
Hilo ndilo tatizo lenyewe; tunatumia sana sukari na tuna uwezo wa kitengeza lakini hatufanyi hivyo. Tanzania chai bila sukari siyo chai wakati kwa wenzetu wengie chai ni chai kama ilivyo, sukari ni ziada.Iko wapi sasa?
Kuna mtu aliambiwa "nonsense" kwa nn kama waziri alizuia sukari kupelekwa Kenya wakati tunafungua nchi. Tutatuma kwani wale ni marafiki zetuHakuna visungura bongo kushinda vyao