Wananchi wa Kyela wanatamba na Sukari ya Malawi

Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari , Balo mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni .

Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari , Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza .

Mungu ibariki Malawi .
Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari , Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza .[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari , Balo mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari wa nchi hiyo duni .

Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari , Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza .

Mungu ibariki Malawi .
Kwa kyela hilo halijawahigi kuwa tatizo
 
Hakuna visungura bongo kushinda vyao
wanavipenda zaidi visungura vya bondo kama vile wabongo wanavyo penda sukari yao ya bei chee za kibongo 🐒

actually tunapendana, tunategemea, tunashirikiana na ni ngoma drooo ...
 
Mafisadi wameidhibiti biashara Sukari Tanzania ndio maana majirani karibia Wote bei ipo chini
zambia wala malawi sukari haijawahi kua juu mbele ya powerful currency ya Tz 🐒
 
Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi

Uwe unajipa muda kufanya research....

Akili nyingi halafu wawe maskini wa kutupwa Afrika?

Biashara ya consumables kati ya Kyela na maeneo jirani ya Malawi ipo miaka mingi, na wafanyabiashara wengi wakati huo wameliwa na mamba kwa sababu ya kuvusha magendo yakiwemo sukari kupitia mto, kukwepa ushuru wa Kasumulo...

Kwa mkoa wa Mbeya na sasa Songwe na Mbeya vitu kama sukari, mafuta ya kupaka, viberiti n.k kwa miaka ya zamani niliyopata kuishi huko ilikuwa ni rahisi kutokea Zambia na Malawi na sio Dar es Salaam...
 
Tanzania matajiri wa madini na maliasili za kila aina lakini tunashindwa na vinchi vidogo vingi.
 
Inawezekana hawatumii sukari sana; kuna nchi nyingine sukari siyo kitu cha muhimu kabisa. Tatizo la sukari Tanzania ni tatizo sugu sana tangu hata mimi ningali mtoto hadi leo nazeek sukari ni hadimu muda wote. Dawa ni kuongeza uzalishaji wa ndani. Wakati wa utoto wetu sukari ilikuwa inazaliswa Kilombero tu; Nyerere akaongeza viwanda vya Mtibwa na Kagera mwanzoni mwa miaka ya sabai; nadhani mwaka 1975 au 1976 hivi. Mpaka Bakhresa anafungua kiwanda kingine Bagamoyo hakujawahi kuwepo kwa juhudi za kujenga viwanda vinginbe licha ya kuwepo walaji wengi.
Ndiyo mmetengenezwa na kufanywa
Hivyo,mmekuwa mateja wa matumizi ya sukari, mshakuwa na addiction nayo

Ova
 
20240219_111900.jpg
 
Uwe unajipa muda kufanya research....

Akili nyingi halafu wawe maskini wa kutupwa Afrika?

Biashara ya consumables kati ya Kyela na maeneo jirani ya Malawi ipo miaka mingi, na wafanyabiashara wengi wakati huo wameliwa na mamba kwa sababu ya kuvusha magendo yakiwemo sukari kupitia mto, kukwepa ushuru wa Kasumulo...

Kwa mkoa wa Mbeya na sasa Songwe na Mbeya vitu kama sukari, mafuta ya kupaka, viberiti n.k kwa miaka ya zamani niliyopata kuishi huko ilikuwa ni rahisi kutokea Zambia na Malawi na sio Dar es Salaam...
Sasa unanipinga au unaniunga mkono ? utafiti wanafanya wasiojua , mimi niliyezaliwa na kukulia maeneo hayo natafiti kipi tena ?
 
Back
Top Bottom