Wananchi wa Kyela wanatamba na Sukari ya Malawi

Haya malalamiko yenu kuhusu Uhaba wa sukari , Kyela hayapo kwa vile sukari ya bei chee kutoka Malawi inatosheleza .[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwa kyela hilo halijawahigi kuwa tatizo
 
Hakuna visungura bongo kushinda vyao
wanavipenda zaidi visungura vya bondo kama vile wabongo wanavyo penda sukari yao ya bei chee za kibongo πŸ’

actually tunapendana, tunategemea, tunashirikiana na ni ngoma drooo ...
 
Mafisadi wameidhibiti biashara Sukari Tanzania ndio maana majirani karibia Wote bei ipo chini
zambia wala malawi sukari haijawahi kua juu mbele ya powerful currency ya Tz πŸ’
 
Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi

Uwe unajipa muda kufanya research....

Akili nyingi halafu wawe maskini wa kutupwa Afrika?

Biashara ya consumables kati ya Kyela na maeneo jirani ya Malawi ipo miaka mingi, na wafanyabiashara wengi wakati huo wameliwa na mamba kwa sababu ya kuvusha magendo yakiwemo sukari kupitia mto, kukwepa ushuru wa Kasumulo...

Kwa mkoa wa Mbeya na sasa Songwe na Mbeya vitu kama sukari, mafuta ya kupaka, viberiti n.k kwa miaka ya zamani niliyopata kuishi huko ilikuwa ni rahisi kutokea Zambia na Malawi na sio Dar es Salaam...
 
Tanzania matajiri wa madini na maliasili za kila aina lakini tunashindwa na vinchi vidogo vingi.
 
Ndiyo mmetengenezwa na kufanywa
Hivyo,mmekuwa mateja wa matumizi ya sukari, mshakuwa na addiction nayo

Ova
 
Sasa unanipinga au unaniunga mkono ? utafiti wanafanya wasiojua , mimi niliyezaliwa na kukulia maeneo hayo natafiti kipi tena ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…