Responded Wananchi wa Mbagala Rangitatu wadai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara wakati kesi iko mahakamani

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
Wananchi hawa wa Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam, wamedai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara zao na Manispaa ya Temeke wakati kesi iko mahakamani, tukio hilo limetokea Mei 2, 2026.

Wananchi wanadai wana zuio la Mahakama Kuu na kesi ipo mahakamani ila Manispaa ya TEMEKE walifika ghafla Mei 1, 2026 kudai watu wote waondoke wanasema Jumamosi (Mei 2, 2026) watavunja.
​
Wamechomeka bango Saa 7 Usiku wa kuamkia Ijumaa na wakaandika hatua za Kisheria zitachukuliwa ila wamepita jioni na vi-speaker wametangaza kwamba watu watoe vitu watavunja Jumamosi ndiyo unaona taharuki.


Your browser is not able to display this video.

​
Ufafanuzi wa Serikali: DC Temeke: Mbagala Rangitatu kulipofanyika bomoabomoa ni eneo la wazi, tulishinda kesi na tulishatoa taarifa waondoke
 
CCM oyeeeeh!! 5 tena. CCM inawenyewe na wenyewe sio nyie sw.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…