Wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tunakupongeza Rais Samia, ziara ya Rais kama hii haijawahi tokea toka uhuru

Wakati mwingine napata kigugumizi na kwikwi saana juu ya sifa hizi za"haijapata tokea" wakati ule wimbo bora kabisa ulikuwa ndiyo huui huu, mpaka bunge likaweka azimio la kumpongeza kwa "ushindi mnono wa uenyekiti wa SADC". Sasa kama aliambiwa haijapata kutokea, leo Tena mwingine anaambiwa haijapata tokea. Mm naomba ufafanuzi. HII HAIJAPATA TOKEA " ni kwa vipi Tena wakati ni miaka Sita tu iliyopita? Au tunasahau ya Jana na kukumbuka ya Leo tu??
Mkuu si ungejibu tu na mfano wa kupinga hiyo hoja?
Huna haja ya kuzunguka mbuyu.
 
View attachment 2322821
Rais Samia akiwa Iringa

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi.
Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela.

Marais wengine toka enzi za Mwalimu waliishia aidha kufungua miradi kwa siku moja na kuondoka siyu hiyo hiyo.
Rais Mwinyi, Rais Mkapa, Rais Kikwete, Rais Magufuli wote walikuwa a one day visit presidents. Na kama walikaa zaidi basi ni wakati wa kampeni za Urais tu.

Hivyo Rais mama Samia amejipatia sifa kubwa kwa kuonekana na watu wengi katika mikoa hii.

Kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi zote zilizo ahidiwa na hao marais wengine, na hazikutekelezwa.

Viva Rais Samia.
Of course imekuwa nzuri na yenye mafanikio yaani win win situation.Ifuatayo ni Summary ya mafanikio kwa Mkoa Mbeya

Mbeya
-Ujenzi wa barabara ya Makongolosi hadi Tabora/ Singida, Serikali inamalizana na Badea..
-Ujenzi wa TANZAM njia 4 kutoka Uyole hadi Songwe Airport km 32..tenda imetangazwa.
-Upanuzi wa TANZAM Road kuwa njia kutoka Igawa hadi Tunduma km 208,tenda imetangazwa,Itajengwa kwa njia ya EPC.
-Madaraja ya Chuma 4 kujengwa Kyela kwenye Mto Songwe,
-Mradi mkubwa wa Maji kutoka Kiwira hadi Mbeya na Songwe,Bil.250,
-Mradi mkubwa wa Maji Chunya Mjini Bil.45 na Vijijini jirani,
-Skimu za Umwagiliaji 13 Kati ya 21 zilizozinduliwa ziko Mbeya.
-Kutatuliwa kwa tatizo la Ardhi lililokwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu cha Udsm Ndaki ya Tiba sanjali na Teaching Hospital,ekari 500 zimepatikana kwenye eneo la Tanganyika Packers,
-Kupatikana kwa Ardhi ya kujenga Chuo Cha Saratani tawi la Ocean Road ekari 50 kwenye eneo la TBC Iwambi.
-Kuzindua skimu ya utoaji Ruzuku ambapo sanjali na hili serikali itaweka nguvu kubwa kwenye Mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini pamoja na Morogoro,Kigoma na Katavi kwa ajili ya Mazao ya biashara na chakula.👇
 
Attachments

  • 20220813_095405.jpg
    20220813_095405.jpg
    99.2 KB · Views: 6
Uongo unalipa sana.
Uongo gani Sasa kaandika?

Kwa Mkoa wa Njombe mafanikio ni kama ifuatavyo,
-Kuanza ujenzi wa barabara ya Makete hadi Mbeya Kwa lami kwa kuanzia eneo la Hifadhi ya Kitulo km 32.tenda imetangazwa
-Kuanza ujenzi wa Barabara ya kibena/Njombe Hadi Ifakara Bil.8 zimewekwa,tenda imetangazwa,
-Mkoa wa Njombe kuwa kitovu cha kuzalisha ngano ya ukanda wa baridi Tanzania ambapo ndipo mbegu zitazalishwa na kusambazwa mikoa mingine.
-Njombe kupata bil.21 za Tactic,km 6 za lami mjini na zingine kujenga Viwanda vya kuongeza thamani parachichi na Mazao ya misitu.
-Amepatikana muwekezaji mkubwa wa kiwanda cha parachichi na pia atakuwa mkulima,jumla ya ekari 500 kutumika.Huyu atatoa soko Kwa wakulima wadogo kama kule Rungwe.
-Tatizo la maji kuwa historia pale Njombe mjini na Makambako hadi Wanging'ombe via miradi ya miji 28,zaidi ya bil.80 zitatumika kwa miji yote.
-Makambako kupata soko kubwa na stand kwa kupitia mradi wa Tactic.
-TanRoads wametenga bil.2 kujenga Barabara za mitaa Makambako.
-Mwisho Mkoa wa Njombe kutafutiwa kampusi ya Chuo Kikuu kupitia mradi wa HEET.
 
Watu wengi hawajui hilo.
Lakini kuna machifu waliofanya kazi kubwa kuzuia waarabu kupita na kufika mikoa hiyo.
Kuna Chief Mkwawa(Hehe) na Chief Merere(Safwa) waliokuwa wakali sana sehemu hizo.

..kwangu mimi mtwa mkwawa ni mtata.

..nahisi alikuwa mbia na waarabu ktk biashara za pembe za ndovu na watumwa.

..uswahiba wa mkwawa na waarabu wa pwani ni wa kutiliwa mashaka.
 
Inawezekana.
Lakini mwisho wa waarabu nisehemu za Iringa.Na baada ya hapo King of the Plains, Chif Merere ambaye hata Mkwawa alimgwaya.
 
Sasa Waarabu wamerudi kivingine na akina Mkwawa hawapo tena sijui kama safari hii watapona huko chini!
Mjinga wewe

Mbona wahehe sasa hivi wana chifu mwarabu wa wahehe

Tena alitawazwa na wahehe wenyewe kabla hata Samia hajawaza kuwa atakuwa Raisi
Walimtawaza wenyewe bila shinikizo la Raisi au mtu wakasema huyu mwarabu ndio chifu wetu

Hivi wewe mjinga unajua kuwa chifu wa wahehe sasa hivi ni mwarabu?
 
View attachment 2322821
Rais Samia akiwa Iringa

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi.
Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela.

Marais wengine toka enzi za Mwalimu waliishia aidha kufungua miradi kwa siku moja na kuondoka siyu hiyo hiyo.
Rais Mwinyi, Rais Mkapa, Rais Kikwete, Rais Magufuli wote walikuwa a one day visit presidents. Na kama walikaa zaidi basi ni wakati wa kampeni za Urais tu.

Hivyo Rais mama Samia amejipatia sifa kubwa kwa kuonekana na watu wengi katika mikoa hii.

Kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi zote zilizo ahidiwa na hao marais wengine, na hazikutekelezwa.

Viva Rais Samia.
Halafu wewe jamaa sikuwahi kudhania ni wa group hili la pambio.

Mwacheni sasa atimize wajibu wake...hii miluzi itampoteza kabisa huyu Hangaya.
 
Aiseeee hii ni camera gani imetumika?? Duh nimeipenda sana hii picha. Camera ni NZURI sana, Kuna simu naweza kutumia nikapata picha kama hii??
 
Of course imekuwa nzuri na yenye mafanikio yaani win win situation.Ifuatayo ni Summary ya mafanikio kwa Mkoa Mbeya

Mbeya
-Ujenzi wa barabara ya Makongolosi hadi Tabora/ Singida, Serikali inamalizana na Badea..
-Ujenzi wa TANZAM njia 4 kutoka Uyole hadi Songwe Airport km 32..tenda imetangazwa.
-Upanuzi wa TANZAM Road kuwa njia kutoka Igawa hadi Tunduma km 208,tenda imetangazwa,Itajengwa kwa njia ya EPC.
-Madaraja ya Chuma 4 kujengwa Kyela kwenye Mto Songwe,
-Mradi mkubwa wa Maji kutoka Kiwira hadi Mbeya na Songwe,Bil.250,
-Mradi mkubwa wa Maji Chunya Mjini Bil.45 na Vijijini jirani,
-Skimu za Umwagiliaji 13 Kati ya 21 zilizozinduliwa ziko Mbeya.
-Kutatuliwa kwa tatizo la Ardhi lililokwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu cha Udsm Ndaki ya Tiba sanjali na Teaching Hospital,ekari 500 zimepatikana kwenye eneo la Tanganyika Packers,
-Kupatikana kwa Ardhi ya kujenga Chuo Cha Saratani tawi la Ocean Road ekari 50 kwenye eneo la TBC Iwambi.
Mkuu ziara kama hii imekuwa ikililiwa na wananchi wa Nyanda za Juu Kusini kwa muda mrefu maana marais wengi waliopita hasa Magufuli ni kama walnyanyapaa maeneo hayo.

Ziara ni vile vile Rais kuwatatulia wananchi kero zao za muda mrefu.
 
Ndio raha ya kiongozi kufanya ziara maana anapata Hali Halisi na kuona na pia akiwauliza wananchi watamwambia shida za Moja kwa Moja..

Naendelea na kuleta summary ya mambo ambayo yatatatuliwa,nimetaja mambo makubwa kwa Mbeya na Njombe sasa ni zamu ya Iringa..

Kwa Mkoa wa Iringa,
-Ujenzi na Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Iringa awamu ya pili ilinkuwezesha ndege kubwa kutua na kukuza utalii,
-Kuanza ujenzi wa barabara ya km 201 ya Iringa hadi Ruaha NP,ilikwama toka uhuru.
-Kuanza ujenzi wa barabara ya Iringa Bypass Ili kuondoa malori makubwa kupita katikati ya Mji.
-Kuanza ujenzi wa barabara ya Mafinga hadi Mgololo,
-Kuanza ujenzi wa barabara ya Nyororo/Mafinga hadi Mtwango kwa kiwango cha lami,
-Kuanza ujenzi wa barabara ya Mafinga hadi Madibira/Mbarali kwa kiwango cha lami,
-Kuanza ujenzi wa barabara ya Ipogolo-Kilolo hadi Idete na kutoboa Mlimba Kwa kiwango cha Lami,
-Mafinga Mjini kupata km 4 za lami chini ya mradi wa Tactic ,
-Kufuta kabisa tatizo la maji mjini Mafinga chini ya mradi wa miji 28,
-Kufuta kabisa tatizo la Maji Mufindi Kaskazini zaidi ya bil.58 zimewekwa,
-Kufuta kabisa shida ya Maji Kwa watu wa Jimbo la Kalenga,zaidi ya bil.60 zitajenga Bwawa kwa ajili ya maji ya nyumbani na umwagiliaji.
-Pia Serikali imepata pesa za mkopo dola mil.350 sawa na zaidi ya sh.Bil.800 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa REGROW kuimarisha utalii kwenye Kanda ya Kusini hususani hifadhi za Ruaha,Kitulo na Katavi..
 
Halafu wewe jamaa sikuwahi kudhania ni wa group hili la pambio.

Mwacheni sasa atimize wajibu wake...hii miluzi itampoteza kabisa huyu Hangaya.
Tangu lini Rais Samia akapotezwa na miluzi na pambio?

Nimemfuatilia Sana ana stamina kubwa kupita kawaida kwa waimba pambio,sio kama.Jiwe aliyekuwa anahemka akisifiwa..👇
 
Attachments

  • 20220813_095405.jpg
    20220813_095405.jpg
    99.2 KB · Views: 5
Mkuu ziara kama hii imekuwa ikililiwa na wananchi wa Nyanda za Juu Kusini kwa muda mrefu maana marais wengi waliopita hasa Magufuli ni kama walnyanyapaa maeneo hayo.

Ziara ni vile vile Rais kuwatatulia wananchi kero zao za muda mrefu.

..inaelekea mlinyanyapaliwa kwelikweli.

..na hilo linadhihirika kwa jinsi mlivyochanganyikiwa na kupagawa kutokana na ahadi za Raisi / Mwenyekiti wa Ccm.

..hizo ni ahadi tu, kazi kubwa zaidi iko ktk utekelezaji wa hizo ahadi.

..Msisahau kwamba nyinyi sio wa kwanza ktk nchi hii kupewa ahadi nzuri-nzuri na Raisi / Ccm.
 
Ndio ,Jiwe alikuwa anachukua pesa kwetu anaenda kujenga kwao kiasi kwamba tungekuwa mbali Sana..

Huku Mbeya alianzisha ujenzi wa wodi za hospital ya meta tuu bil.6,Rais Samia katoa bil.7 kamaliza na ataleta vifaa tiba.

Kamaliza ujenzi wa Ofisi ya RC ambayo ilikuwa inasuansua kwa miaka zaidi ya 10 toka ianze,

Na mambo mengine mengi.Jiwe ndio alifuta hadi 8/8 wakati anajua ni muhimu sana kwa watu wa Nyanda za Juu Kusini.
 
Back
Top Bottom