Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu si ungejibu tu na mfano wa kupinga hiyo hoja?Wakati mwingine napata kigugumizi na kwikwi saana juu ya sifa hizi za"haijapata tokea" wakati ule wimbo bora kabisa ulikuwa ndiyo huui huu, mpaka bunge likaweka azimio la kumpongeza kwa "ushindi mnono wa uenyekiti wa SADC". Sasa kama aliambiwa haijapata kutokea, leo Tena mwingine anaambiwa haijapata tokea. Mm naomba ufafanuzi. HII HAIJAPATA TOKEA " ni kwa vipi Tena wakati ni miaka Sita tu iliyopita? Au tunasahau ya Jana na kukumbuka ya Leo tu??
That is your backward mindset.Chawa kama chawa masopakyindi
Damn good!Damn!
Of course imekuwa nzuri na yenye mafanikio yaani win win situation.Ifuatayo ni Summary ya mafanikio kwa Mkoa MbeyaView attachment 2322821
Rais Samia akiwa Iringa
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi.
Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela.
Marais wengine toka enzi za Mwalimu waliishia aidha kufungua miradi kwa siku moja na kuondoka siyu hiyo hiyo.
Rais Mwinyi, Rais Mkapa, Rais Kikwete, Rais Magufuli wote walikuwa a one day visit presidents. Na kama walikaa zaidi basi ni wakati wa kampeni za Urais tu.
Hivyo Rais mama Samia amejipatia sifa kubwa kwa kuonekana na watu wengi katika mikoa hii.
Kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi zote zilizo ahidiwa na hao marais wengine, na hazikutekelezwa.
Viva Rais Samia.
Akili yako ndio imeishia hapoWewe ni mjinga
Uongo gani Sasa kaandika?Uongo unalipa sana.
Watu wengi hawajui hilo.
Lakini kuna machifu waliofanya kazi kubwa kuzuia waarabu kupita na kufika mikoa hiyo.
Kuna Chief Mkwawa(Hehe) na Chief Merere(Safwa) waliokuwa wakali sana sehemu hizo.
Inawezekana...kwangu mimi mtwa mkwawa ni mtata.
..nahisi alikuwa mbia na waarabu ktk biashara za pembe za ndovu na watumwa.
..uswahiba wa mkwawa na waarabu wa pwani ni wa kutiliwa mashaka.
Mjinga weweSasa Waarabu wamerudi kivingine na akina Mkwawa hawapo tena sijui kama safari hii watapona huko chini!
Halafu wewe jamaa sikuwahi kudhania ni wa group hili la pambio.View attachment 2322821
Rais Samia akiwa Iringa
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi.
Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela.
Marais wengine toka enzi za Mwalimu waliishia aidha kufungua miradi kwa siku moja na kuondoka siyu hiyo hiyo.
Rais Mwinyi, Rais Mkapa, Rais Kikwete, Rais Magufuli wote walikuwa a one day visit presidents. Na kama walikaa zaidi basi ni wakati wa kampeni za Urais tu.
Hivyo Rais mama Samia amejipatia sifa kubwa kwa kuonekana na watu wengi katika mikoa hii.
Kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi zote zilizo ahidiwa na hao marais wengine, na hazikutekelezwa.
Viva Rais Samia.
Aiseeee hii ni camera gani imetumika?? Duh nimeipenda sana hii picha. Camera ni NZURI sana, Kuna simu naweza kutumia nikapata picha kama hii??View attachment 2322821
Rais Samia akiwa Iringa
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi.
Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela.
Marais wengine toka enzi za Mwalimu waliishia aidha kufungua miradi kwa siku moja na kuondoka siyu hiyo hiyo.
Rais Mwinyi, Rais Mkapa, Rais Kikwete, Rais Magufuli wote walikuwa a one day visit presidents. Na kama walikaa zaidi basi ni wakati wa kampeni za Urais tu.
Hivyo Rais mama Samia amejipatia sifa kubwa kwa kuonekana na watu wengi katika mikoa hii.
Kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi zote zilizo ahidiwa na hao marais wengine, na hazikutekelezwa.
Viva Rais Samia.
Mkuu ziara kama hii imekuwa ikililiwa na wananchi wa Nyanda za Juu Kusini kwa muda mrefu maana marais wengi waliopita hasa Magufuli ni kama walnyanyapaa maeneo hayo.Of course imekuwa nzuri na yenye mafanikio yaani win win situation.Ifuatayo ni Summary ya mafanikio kwa Mkoa Mbeya
Mbeya
-Ujenzi wa barabara ya Makongolosi hadi Tabora/ Singida, Serikali inamalizana na Badea..
-Ujenzi wa TANZAM njia 4 kutoka Uyole hadi Songwe Airport km 32..tenda imetangazwa.
-Upanuzi wa TANZAM Road kuwa njia kutoka Igawa hadi Tunduma km 208,tenda imetangazwa,Itajengwa kwa njia ya EPC.
-Madaraja ya Chuma 4 kujengwa Kyela kwenye Mto Songwe,
-Mradi mkubwa wa Maji kutoka Kiwira hadi Mbeya na Songwe,Bil.250,
-Mradi mkubwa wa Maji Chunya Mjini Bil.45 na Vijijini jirani,
-Skimu za Umwagiliaji 13 Kati ya 21 zilizozinduliwa ziko Mbeya.
-Kutatuliwa kwa tatizo la Ardhi lililokwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu cha Udsm Ndaki ya Tiba sanjali na Teaching Hospital,ekari 500 zimepatikana kwenye eneo la Tanganyika Packers,
-Kupatikana kwa Ardhi ya kujenga Chuo Cha Saratani tawi la Ocean Road ekari 50 kwenye eneo la TBC Iwambi.
NI katika kukumbushana tuu mkuu, samahani kwa kona nyingi mno.Mkuu si ungejibu tu na mfano wa kupinga hiyo hoja?
Huna haja ya kuzunguka mbuyu.
Ndio raha ya kiongozi kufanya ziara maana anapata Hali Halisi na kuona na pia akiwauliza wananchi watamwambia shida za Moja kwa Moja..Mkuu ziara kama hii imekuwa ikililiwa na wananchi wa Nyanda za Juu Kusini kwa muda mrefu maana marais wengi waliopita hasa Magufuli ni kama walnyanyapaa maeneo hayo.
Ziara ni vile vile Rais kuwatatulia wananchi kero zao za muda mrefu.
Tangu lini Rais Samia akapotezwa na miluzi na pambio?Halafu wewe jamaa sikuwahi kudhania ni wa group hili la pambio.
Mwacheni sasa atimize wajibu wake...hii miluzi itampoteza kabisa huyu Hangaya.
Mkuu ziara kama hii imekuwa ikililiwa na wananchi wa Nyanda za Juu Kusini kwa muda mrefu maana marais wengi waliopita hasa Magufuli ni kama walnyanyapaa maeneo hayo.
Ziara ni vile vile Rais kuwatatulia wananchi kero zao za muda mrefu.
Ndio ,Jiwe alikuwa anachukua pesa kwetu anaenda kujenga kwao kiasi kwamba tungekuwa mbali Sana....inaelekea mlinyanyapaliwa kwelikweli.
..na hilo linadhihirika kwa jinsi mlivyochanganyikiwa na kupagawa kutokana na ahadi za Raisi / Mwenyekiti wa Ccm.
..hizo ni ahadi tu, kazi kubwa zaidi iko ktk utekelezaji wa hizo ahadi.
..Msisahau kwamba nyinyi sio wa kwanza ktk nchi hii kupewa ahadi nzuri-nzuri na Raisi / Ccm.