Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

Kwanini ujio wa treni hii umekuumiza kiasi hiki? wakati mwingine hata kama jambo halita kidhi uhitaji wako kunawapo wakuhitaji hicho kwahiyo kama mtanzania panapo chembe ya muamko wa maendeleo yaliyo fifia kwa muda mrefu na kuwaathiri watu wa chini jaribu kunesha hata dalili za shukrani ndugu kwa ukombozi huu

Wyatt Mathewson,
 
June 14, 2002 bado naikumbuka sana. Wasimamizi wa hiyo treni muwe makini sana, uadilifu na utendaji kazi makini/professionalism ya hali ya juu.

I remember, 400 people just perished, they perished in that fatal train accident.

Kila la heri na sikukuu njema wote mnaosafiri this Christmas season.
 

Mkuu
Unashindwa kuelewa kabisa, Hakuna mtu wa Moshi anaekuja Dar anapakia kitu cha 16,000/= kinachofika next day!

Hakuna! Kwenda Moshi, tatizo sio hela ya kupakia, tatizo ni speed ya kufika Moshi! Na treni ya mawe can never provide that! Hiyo treni ingepata watu kama ingekua inaenda Kigoma!

Basi za 30,000/= ambazo ni luxury sleeping coaches ni lazima zitajaa maana muhimu ni confort na speed ya kufika Moshi na Arusha! Huko serikalini they will never learn!

Bure kabisa! Mtu wa kwenda Moshi tangu lini akatafuta usafiri wa 16,000/= kufika Moshi siku inayofuata???

Never! Naongea kwa purely business standpoint na ninavyoijua njia ya Dar-Moshi-Arusha! Natoka huko na najua kila kitu! Hakuna mtu atakaepakia gogo!

Mark my words!

Namchukia sana mawe na watu wake ila kwa hili naongelea kibiashara na jinsi navyojua hii njia!
 


Umenikumbusha walifariki wasabato wengi sn aise!hasa wanawake! Rip
 
Wyatt Mathewson,
Ngoja tuone kama abiria watakosekana halafu ndio uje hapa na uchambuzi wako uchwara ukiendekeza chuki binafsi za wavuta ganja zikutawale.
 
Naikumbuka sana kauli ya mbunge wa Kilwa, Mheshimiwa Bwege.... Mwishoooniiii mtaachia... uchaguzi utafufua mengi... ukipita tu, we will go back to square one..
 
Hao watakuwa Wasambaa wa Hedaru. Mchagga au Mpare hawezi kushobokea treni ya mwaka 1906. Wenye ushamba wa hivyo ni Wasukuma tu wanaopenda ile 3rd class ya Mwanza Dsm ambako wanajazana kama ng'ombe
Hata ukikaa kimya wakati mwingine tutajua una HEKIMA japo ni zero brain, kuliko kuongea takataka na kutaja kabila la mtu.
Non sense.
 
Tayari umeonyesha wewe ni mtu wa aina gano.
YATOSHA

Mzee

Sasa siruhusiwi kumchukia mtu yeyote hapa duniani?

Unaempenda wewe si lazima wengine wampende!

Unanichekesha sana unapo grade watu eti wapo grade ya chini sababu tu wanamchukia mtu ambae wewe unampenda!

Usilete theocracy hapa!

Naruhusiwa kumpenda au kumchukia yeyeote hapa duniani kama wewe ulivyo na uhuru huo!

Kwahiyo fvck what’chu think!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…