Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

Mkuu unaweza kukosoa bila kuingiza makabila ya watu, umoja wetu wa kitaifa upo hatarini, usichochee chuki tafadhali
Ninahisi kama kuna kundi la watu wanataka kulazimisha uadui wa haya makabila kisa ni siasa yaani iwe kama ilivo kenya halafu baadaye wanasiasa kutoka makabila haya wawe wanatafuta uungwaji mkono wa kikanda ,kikabila hii ni njia rahisi iliyosalia kuelekea mgawanyiko mkuu hatimaye ikibidi vita kati yetu huwa sioini sababu mtu kuingiza ukabila sehemu ambapo hauhitajiki na ninahisi wengi wala si wachaga au wachaga wako under attack indirectly ili waonekane ni watu wenye ukabila yaani mtu anjifanya mchaga kutukana kabila jingine ni wazi watu wa kabila jingine hata wasipojibu wanakuwa wanawachukulia tofauti
 
Rais wako ndo kayaanzisha haua yote..hapa tunafata nyayo zake tu mkuu
NI sawa lakini tutaumia wadogo wakubwa wao hupatana mezani wakapeana mkono wakakenua meno wakiita handshake wakanywa milkshake pamoja yakaisha, maumivu na kupoteza yanabaki kwetu.
Vipi kama ndio misheni yake ndio hii, hapo si ndio tunamuunga mkono aifanikishe au?
 


Sema kashafanikisha...!acha yaendelee tu
 
Majibu yako yanaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.
YATOSHA.
 
Majibu yako yanaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.
YATOSHA.

Na wewe ni mtu wa aina gani pia!

Mimi nina aina yangu na wewe una aina yako!

Yanini unanifatafata na aina yangu?

Ni aina yangu,wewe deal na aina yako!

Acha usnitch!
 
Kila kitu shukurani kwa Magufuli. Kawa Mungu mtu.
Utafikiri ni vitu ambavyo havijawahi kufanywa na ma Rais waliotangulia. Tumelogwa kweli.
 
Hivi hii train inatumia masaa mangapi toka Dsm to Moshi?
 
Kwani wachaga wote wana private car? wanapandaga mpaka mafuso na magari ya magazeti sembuse train
 
Kwani wachaga wote wana private car? wanapandaga mpaka mafuso na magari ya magazeti sembuse train
 
Mchagga aache kupanda private car from Dar to Moshi aashobokee hayo matakataka yenu..???
Ndugu, nadhani Umekuwa mbinafsi sana wa Mawazo; Ni imani yangu katikika jamii zetu watu tunatofautiana Mtazamo, uchumi, Maarifa, Uelewa na vitu vingine kedekede.
Usafiri wa Treni hauna suala la Daraja la mtu kimaisha, isipokuwa sababu ndiyo itakayomfanya Mtu aamue Kuchagua Treni kama usafiri wake.
Kusema kwamba Watu wa Kilimanjaro Hawawezi Kuchagua treni, badala yake watatumia Gari zao binafsi huo ni Ubinafsi wa kimawazo; kwani Kila mtu pamoja na mambo yote anao utashi wake kwenye maamuzi, huku akisukumwa na Sababu za kufanya maamuzi hayo.
Nimezungumza hili si kwa kutaka kukukosoa, no, Mchango wako ni mzuri isipokuwa umejaa na (Umimi) Ubinafsi; All in all Comment iko sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…