A
Anonymous
Guest
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Halmashauri ya Mlimba, Tarafa ya Mlimba. Kero yangu kubwa ni suala la Kupata Nguzo ya Umeme, ukienda Ofisi za TANESCO ili upate Huduma ya Nguzo ya Umeme unaambiwa Nguzo Moja ni zaid ya Shilingi 580,000/=.
Je, hii ni haki Mwananchi kulipia nguzo moja ya umeme kwa zaidi ya Laki tano? Serikali inasisitiza Wananchi wote tuwe na nishati ya umeme lakini kwa uchumi ulivyo na kwa kiwango hicho mbona inakuwa ni kuumizana au wanadhani ukiishi mjini unakuwa na hela.
Nadhani Serikali iangalie, umeme siyo luxury ni hitaji la msingi.