Wananchi wa North Korea wanaishi kwa mateso sana

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Unaambiwa kila nyumba inatakiwa kuwa na picha ya bab wa taifa na picha ya kiduku.

Ikitokea nyumba imeungua na kuna mtoto ndani ni bora kuokoa picha ,wakija wakakuta picha zimeungua na umeokoa mtoto au mtu asiue jiweza wewe ni jera.

Mtu akifanya makosa basi familia yenu itahukumiwa mfano kutoroka nchi,kusaliti nchi.

Television yake yote ni kusifu wala hakutakiwi kueleza ya dunia huko.

Baiskeli ni kama shinyanga.

Bendi zinazotumbuiza zinatakiwa kusifia mabomu na uwezo kiduku
 
Duuh hatari sana!
 
Duh!
 
North Korea ya Malawi hii au nyingine?
Screenshot_20260713-190134.png
 
Unaambiwa kila nyumba inatakiwa kuwa na picha ya bab wa taifa na picha ya kiduku.

Ikitokea nyumba imeungua na kuna mtoto ndani ni bora kuokoa picha ,wakija wakakuta picha zimeungua na umeokoa mtoto au mtu asiue jiweza wewe ni jera.

Mtu akifanya makosa basi familia yenu itahukumiwa mfano kutoroka nchi,kusaliti nchi.

Television yake yote ni kusifu wala hakutakiwi kueleza ya dunia huko.

Baiskeli ni kama shinyanga.

Bendi zinazotumbuiza zinatakiwa kusifia mabomu na uwezo kiduku
Uongo
 
Chai hii ,

Juzi nilikuwa Nina tizama documentary zinazo ihusu Korea kaskazini, Aisee Nchi Yao now days wameijenga vibaya sana

Nchi imejaa skyscraper za kumwaga , Kuna mambo mengi sana tulipangwa kmmk 🙌
 
Mababu hii story nilikuwa nawasimulia wana hapa kijiwe cha drafti Mburahati wewe umeileta huku?
 
Uongo ,hiyo ni uongo
Ni ukweli mkuu. Wananchi wengi humo hawajui hata kinachoendelea nje ya korea kaskazini. Pia ni marufuku kusafiri safiri nje ya wilaya ama mkoa uliopo ispokuwa kwa wachache wenyevkibali maalumu. Mfano wewe umezaliwa ama unaishi tanga marufuku kutoka nje ya tanga kwenda kilimanjaro, pwani ama Dar.

Ni nchi ya kihuni eti inajiita DEMOCRATIC PEOPLE'S REPUBLIC OF KOREA DPRK unabaki kushangaa wtf!
 
Chai hii ,

Juzi nilikuwa Nina tizama documentary zinazo ihusu Korea kaskazini, Aisee Nchi Yao now days wameijenga vibaya sana

Nchi imejaa skyscraper za kumwaga , Kuna mambo mengi sana tulipangwa kmmk 🙌
USA ni watu wa porojo ,nchi hoa ina madudu mengi sana ,maisha magumu Yaani matajiri wachache htumikisha kundi kubwa ..Hakuna nchi ya kitumwa kama USA ,wanawake wanalipwa mishahara pungufu dhdi ya wanaume ,halafu wanapiga kelele kujusuy usawa.

Leo kulikuwa na kesi ya mtu kupigwa risasa ,yaani juzi kuna wengine wameuawa kwa kupigwa risasi hovyo ..Hiyo ndiyo demokrasia.
 
Mababu hii story nilikuwa nawasimulia wana hapa kijiwe cha drafti Mburahati wewe umeileta huku?
Angalia mada zangu labda utakuwa umetoa hapa JF.Mimi sipo huko ungefika kwa GSM wa katoro ungeona alikiba alishindwa kuimba
 
Ni ukweli mkuu. Wananchi wengi humo hawajui hata kinachoendelea nje ya korea kaskazini. Pia ni marufuku kusafiri safiri nje ya wilaya ama mkoa uliopo ispokuwa kwa wachache wenyevkibali maalumu. Mfano wewe umezaliwa ama unaishi tanga marufuku kutoka nje ya tanga kwenda kilimanjaro, pwani ama Dar.

Ni nchi ya kihuni eti inajiita DEMOCRATIC PEOPLE'S REPUBLIC OF KOREA DPRK unabaki kushangaa wtf!
Uongo, hawafuatilii mambo ya magharibi
 
Unaambiwa kila nyumba inatakiwa kuwa na picha ya bab wa taifa na picha ya kiduku.

Ikitokea nyumba imeungua na kuna mtoto ndani ni bora kuokoa picha ,wakija wakakuta picha zimeungua na umeokoa mtoto au mtu asiue jiweza wewe ni jera.

Mtu akifanya makosa basi familia yenu itahukumiwa mfano kutoroka nchi,kusaliti nchi.

Television yake yote ni kusifu wala hakutakiwi kueleza ya dunia huko.

Baiskeli ni kama shinyanga.

Bendi zinazotumbuiza zinatakiwa kusifia mabomu na uwezo kiduku
Ya kwetu yanatushinda ,tunasubiri ya uzushi ya kuambiwa ya nchi nyingine🚶🚶
 
Ya kujadili wanaume wenzako mtaani unaweza ila mkeo kakushinda boda boda wanajipigia kwa msaada wa CCM na kikundi cha mwaipopo
 
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo.Ndo maana unaookoteza vihabari vya kizushi.
 
Back
Top Bottom