Labda mwakani
Member
- Mar 27, 2026
- 75
- 100
nchi yoyote inayokataa kua shamba la us haijawahi kutangazwa kwa sifa nzuri kwahyo jiongezeNi ukweli mkuu. Wananchi wengi humo hawajui hata kinachoendelea nje ya korea kaskazini. Pia ni marufuku kusafiri safiri nje ya wilaya ama mkoa uliopo ispokuwa kwa wachache wenyevkibali maalumu. Mfano wewe umezaliwa ama unaishi tanga marufuku kutoka nje ya tanga kwenda kilimanjaro, pwani ama Dar.
Ni nchi ya kihuni eti inajiita DEMOCRATIC PEOPLE'S REPUBLIC OF KOREA DPRK unabaki kushangaa wtf!