Duuh hatari sana!Unaambiwa kila nyumba inatakiwa kuwa na picha ya bab wa taifa na picha ya kiduku.
Ikitokea nyumba imeungua na kuna mtoto ndani ni bora kuokoa picha ,wakija wakakuta picha zimeungua na umeokoa mtoto au mtu asiue jiweza wewe ni jera.
Mtu akifanya makosa basi familia yenu itahukumiwa mfano kutoroka nchi,kusaliti nchi.
Television yake yote ni kusifu wala hakutakiwi kueleza ya dunia huko.
Baiskeli ni kama shinyanga.
Duh!Unaambiwa kila nyumba inatakiwa kuwa na picha ya bab wa taifa na picha ya kiduku.
Ikitokea nyumba imeungua na kuna mtoto ndani ni bora kuokoa picha ,wakija wakakuta picha zimeungua na umeokoa mtoto au mtu asiue jiweza wewe ni jera.
Mtu akifanya makosa basi familia yenu itahukumiwa mfano kutoroka nchi,kusaliti nchi.
Television yake yote ni kusifu wala hakutakiwi kueleza ya dunia huko.
Baiskeli ni kama shinyanga.
Bendi zinazotumbuiza zinatakiwa kusifia mabomu na uwezo kiduku
UongoUnaambiwa kila nyumba inatakiwa kuwa na picha ya bab wa taifa na picha ya kiduku.
Ikitokea nyumba imeungua na kuna mtoto ndani ni bora kuokoa picha ,wakija wakakuta picha zimeungua na umeokoa mtoto au mtu asiue jiweza wewe ni jera.
Mtu akifanya makosa basi familia yenu itahukumiwa mfano kutoroka nchi,kusaliti nchi.
Television yake yote ni kusifu wala hakutakiwi kueleza ya dunia huko.
Baiskeli ni kama shinyanga.
Bendi zinazotumbuiza zinatakiwa kusifia mabomu na uwezo kiduku
Ni ukweli mkuu. Wananchi wengi humo hawajui hata kinachoendelea nje ya korea kaskazini. Pia ni marufuku kusafiri safiri nje ya wilaya ama mkoa uliopo ispokuwa kwa wachache wenyevkibali maalumu. Mfano wewe umezaliwa ama unaishi tanga marufuku kutoka nje ya tanga kwenda kilimanjaro, pwani ama Dar.Uongo ,hiyo ni uongo
USA ni watu wa porojo ,nchi hoa ina madudu mengi sana ,maisha magumu Yaani matajiri wachache htumikisha kundi kubwa ..Hakuna nchi ya kitumwa kama USA ,wanawake wanalipwa mishahara pungufu dhdi ya wanaume ,halafu wanapiga kelele kujusuy usawa.Chai hii ,
Juzi nilikuwa Nina tizama documentary zinazo ihusu Korea kaskazini, Aisee Nchi Yao now days wameijenga vibaya sana
Nchi imejaa skyscraper za kumwaga , Kuna mambo mengi sana tulipangwa kmmk 🙌
Uongo, hawafuatilii mambo ya magharibiNi ukweli mkuu. Wananchi wengi humo hawajui hata kinachoendelea nje ya korea kaskazini. Pia ni marufuku kusafiri safiri nje ya wilaya ama mkoa uliopo ispokuwa kwa wachache wenyevkibali maalumu. Mfano wewe umezaliwa ama unaishi tanga marufuku kutoka nje ya tanga kwenda kilimanjaro, pwani ama Dar.
Ni nchi ya kihuni eti inajiita DEMOCRATIC PEOPLE'S REPUBLIC OF KOREA DPRK unabaki kushangaa wtf!
Ya kwetu yanatushinda ,tunasubiri ya uzushi ya kuambiwa ya nchi nyingine🚶🚶Unaambiwa kila nyumba inatakiwa kuwa na picha ya bab wa taifa na picha ya kiduku.
Ikitokea nyumba imeungua na kuna mtoto ndani ni bora kuokoa picha ,wakija wakakuta picha zimeungua na umeokoa mtoto au mtu asiue jiweza wewe ni jera.
Mtu akifanya makosa basi familia yenu itahukumiwa mfano kutoroka nchi,kusaliti nchi.
Television yake yote ni kusifu wala hakutakiwi kueleza ya dunia huko.
Baiskeli ni kama shinyanga.
Bendi zinazotumbuiza zinatakiwa kusifia mabomu na uwezo kiduku
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo.Ndo maana unaookoteza vihabari vya kizushi.Ya kujadili wanaume wenzako mtaani unaweza ila mkeo kakushinda boda boda wanajipigia kwa msaada wa CCM na kikundi cha mwaipopo