Labda mwakani
Member
- Mar 27, 2026
- 75
- 100
nchi yoyote inayokataa kua shamba la us haijawahi kutangazwa kwa sifa nzuri kwahyo jiongezeNi ukweli mkuu. Wananchi wengi humo hawajui hata kinachoendelea nje ya korea kaskazini. Pia ni marufuku kusafiri safiri nje ya wilaya ama mkoa uliopo ispokuwa kwa wachache wenyevkibali maalumu. Mfano wewe umezaliwa ama unaishi tanga marufuku kutoka nje ya tanga kwenda kilimanjaro, pwani ama Dar.
Ni nchi ya kihuni eti inajiita DEMOCRATIC PEOPLE'S REPUBLIC OF KOREA DPRK unabaki kushangaa wtf!

Usipende sana kuamini kila propaganda ya western countries...Unaambiwa kila nyumba inatakiwa kuwa na picha ya bab wa taifa na picha ya kiduku.
Ikitokea nyumba imeungua na kuna mtoto ndani ni bora kuokoa picha ,wakija wakakuta picha zimeungua na umeokoa mtoto au mtu asiue jiweza wewe ni jera.
Mtu akifanya makosa basi familia yenu itahukumiwa mfano kutoroka nchi,kusaliti nchi.
Television yake yote ni kusifu wala hakutakiwi kueleza ya dunia huko.
Baiskeli ni kama shinyanga.
Bendi zinazotumbuiza zinatakiwa kusifia mabomu na uwezo kiduku
Usipende sana kuamini kila propaganda ya western countries...
Hao wakikuamulia jambo lao... utanuka mwili mzima...!
Propaganda ndogo tu hapa jirani...ya idi amini mama..no dada!.. unaamini yaliyokuwa yanasemwa juu yake?... uliza waganda wakwambie ukweli wanavyomkubali hadi wa leo!
Hivi umeshafika tuanze kutajiana mitaa na maeneo.Maana naona kama umesahamu October 29 yaliyotokea nayo unaweza kusema ni propagandaUsipende sana kuamini kila propaganda ya western countries...
Hao wakikuamulia jambo lao... utanuka mwili mzima...!
Propaganda ndogo tu hapa jirani...ya idi amini mama..no dada!.. unaamini yaliyokuwa yanasemwa juu yake?... uliza waganda wakwambie ukweli wanavyomkubali hadi wa leo!
Hiyo kazi ya kujua mitaa ya korea sio inshu sana...hata Gemini,Gpt,perplexity, meta ai, copilot ama grok wanafanya kwa sekunde tu...Hivi umeshafika tuanze kutajiana mitaa na maeneo.Maana naona kama umesahamu October 29 yaliyotokea nayo unaweza kusema ni propaganda
Ile Nchi ni balaa ,nimetembea Nchi mbali mbali sijawahi kukutana na Raia aliyejitambulisha kutoka North Koreaš¤£Unaambiwa kila nyumba inatakiwa kuwa na picha ya bab wa taifa na picha ya kiduku.