Wananchi wa tanzania wanampenda na kumuamini sana Rais samia, mataifa duniani yanamkubali mno

Panya road tu wamemshinda, Tanesco yake wanakata umeme usiku na kuacha mitaa giza kama tupo jehanamu
hapo mtaani acheni wizi mafuta ya transformer.

Pole sana,
Hebu njoo kituo cha polisi na taarifa za sahihi za hao wadudu tunashughulika nao kuwadhibiti kwa haraka sana...
 
Kwa upendo wa wazi na wa dhati walionao wa Tanzania dhidi ya kiongozi huyu mkuu wa nchi, wanatamani aiongoze Tanzania bila ukomo, lakini ndio hivyo tena anaheshimu na kuitii katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya utaratibu ukomo wa uongozi.

Na kwahivyo baada ya ngwe zake kwisha atawaachia wengine waendelee pia.

Kiongozi huyu shupavu, madhubuti na mwenye mipango ya kuwaletea wananchi maendeleo, yuko imara hayumbishwi na chochote anachapa kazi kwa bidii, weledi, umahiri na umakini mkubwa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Anachapa kazi akiwa ndani ya nchi, anachapa kazi akiwa nje ya nchi. Tanzania ni tulivu, ulinzi na usalama watu na mali zao ni shwari na wa uhakika.

Maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi yanavyoshamiri nchini ndicho hasa kinachofanya wananchi wampende sana na kumuamini kiongozi huyu mkuu wa nchi.

Kwasababu wananchi wanafaidika na kunufaika na maboresho ya huduma zinazogusa maisha yao halisi mathalalani, katika sekta ya afya, Elimu, maji, kilimo, biashara, ufugaji , barabara, usafirishaji, usafiri wa anga na majini, uvuvi, ulinzi na usalama, uhuru wa maoni, uwazi serikalini, uwajibikaji kwa uchache sana.....

Masuala ya rushwa na utovu wa maadili katika utumishi wa umma yanashughulikiwa ipasavyo na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahusika bila huruma wala upendeleo na wahusika wanawajibika vilivyo kwa makosa yao.

Nionavyo mie, katika uchaguzi ujao wa 2025, endapo atagombea Urais, basi ni dhahiri atashinda kirahisi sana na kwa kishindo kikubwa mno hapajawahi kutokea. Rekodi ya utendaji wenye weledi, tija na matokeo kwenye maisha ya waTz inambeba.

Atashindana na nani sasa kwa mfano humu nchini? Kwa kweli hakuna, ila bila shaka kutakua na wasindikizaji.

Mungu Ibariki Tanzania.
Hayo mataifa yanamkubali kwa kuwa kavaa miwani ya mbao haoni wanavyotuibia na mikataba ya hovyo
 
Labda utakua mkataba wako binafsi umeibiwa peke ako na mwenye nyumba.

Mikataba yote ya nchi na mataifa na makampuni mbalimba chini ya Dr SSH ina faida na maslahi mapana ya nchi. Hakuna wizi wala udanganyifu...
 
hapo mtaani acheni wizi mafuta ya transformer.

Pole sana,
Hebu njoo kituo cha polisi na taarifa za sahihi za hao wadudu tunashughulika nao kuwadhibiti kwa haraka sana...
Nimecheka sana yaani unavyojibu mambo mhimu kiutani utani hivi

Ipo siku CCM mtapata akili
 
Kwa upendo wa wazi na wa dhati walionao wa Tanzania dhidi ya kiongozi huyu mkuu wa nchi, wanatamani aiongoze Tanzania bila ukomo, lakini ndio hivyo tena anaheshimu na kuitii katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya utaratibu ukomo wa uongozi.

Na kwahivyo baada ya ngwe zake kwisha atawaachia wengine waendelee pia.

Kiongozi huyu shupavu, madhubuti na mwenye mipango ya kuwaletea wananchi maendeleo, yuko imara hayumbishwi na chochote anachapa kazi kwa bidii, weledi, umahiri na umakini mkubwa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Anachapa kazi akiwa ndani ya nchi, anachapa kazi akiwa nje ya nchi. Tanzania ni tulivu, ulinzi na usalama watu na mali zao ni shwari na wa uhakika.

Maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi yanavyoshamiri nchini ndicho hasa kinachofanya wananchi wampende sana na kumuamini kiongozi huyu mkuu wa nchi.

Kwasababu wananchi wanafaidika na kunufaika na maboresho ya huduma zinazogusa maisha yao halisi mathalalani, katika sekta ya afya, Elimu, maji, kilimo, biashara, ufugaji , barabara, usafirishaji, usafiri wa anga na majini, uvuvi, ulinzi na usalama, uhuru wa maoni, uwazi serikalini, uwajibikaji kwa uchache sana.....

Masuala ya rushwa na utovu wa maadili katika utumishi wa umma yanashughulikiwa ipasavyo na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahusika bila huruma wala upendeleo na wahusika wanawajibika vilivyo kwa makosa yao.

Nionavyo mie, katika uchaguzi ujao wa 2025, endapo atagombea Urais, basi ni dhahiri atashinda kirahisi sana na kwa kishindo kikubwa mno hapajawahi kutokea. Rekodi ya utendaji wenye weledi, tija na matokeo kwenye maisha ya waTz inambeba.

Atashindana na nani sasa kwa mfano humu nchini? Kwa kweli hakuna, ila bila shaka kutakua na wasindikizaji.

Mungu Ibariki Tanzania.
Weka kura ya maoni hapa jukwaani ili tuujueukweli

Usirushe ngumi tu
 
Labda utakua mkataba wako binafsi umeibiwa peke ako na mwenye nyumba.

Mikataba yote ya nchi na mataifa na makampuni mbalimba chini ya Dr SSH ina faida na maslahi mapana ya nchi. Hakuna wizi wala udanganyifu...
Mkataba tu wa bandari ulikuwa kama wa enzi za kina chief Mangungo!

Bila Baraza la Maaskofu Tanzania kuingilia kati mlikuwa mshaingia cha kike

Samia kama atawekwa tena na usalama wa taifa kwa kushirikiana na hii tume mbovu ya uchaguzi ni kweli atarudi 2025 lakini kwa kura za wananchi sahau kitu kama hicho
 
Nimecheka sana yaani unavyojibu mambo mhimu kiutani utani hivi

Ipo siku CCM mtapata akili
Majibu ya utani???
sasa unaona au unafanyiwa uhalifu na wadudu nakuelekeza jambo muhimu la kufanya unaibeza CCM.
sasa ntakusaidiaje tena...
 
Mbali na kukomenti mwenyewe sioni kama huyo uliemtaja anakubalika kama ulivyoandika. Muda utaleta majibu hii kusifia sifia hata yeye mwenyewe anajua kwamba hawezi uongozi
 
Majibu ya utani???
sasa unaona au unafanyiwa uhalifu na wadudu nakuelekeza jambo muhimu la kufanya unaibeza CCM.
sasa ntakusaidiaje tena...
Mpaka hao wadudu wanaingia mitaani na kusumbua watu ni dalili hakuna polisi wala usalama wa raia

Tunalala na kuamka kwa neema tu za mwenyezi Mungu huku police wakichukua mishahara na Rushwa Bure

Nchi inayo makaa ya mawe, inayo gesi, inayo madini ya uranium lakini bado mnategemea umeme wa maji na kugawa umeme kwa mgao, mnakata umeme usiku na kuacha mitaa giza bila polisi wala jeshi, wananchi wanaishi kama kuku

Nyie CCM ni vichaa msiojitambua
 
Weka kura ya maoni hapa jukwaani ili tuujueukweli

Usirushe ngumi tu
Maoni unayapata hapo kwenye comment mpaka sijaona mtu aliemsifia huyo kiongozi wake zaidi ya yeye kujibu tu cooment za watu kiufupi anafosi...... Angalia nyuzi za watu wengine haihitaji nguvu kubwa watu wanapita na kumwaga mawazo yao ila uzi huu inabidi ujijibu mwenyewe ili kauzi kasogee
 
Mkataba tu wa bandari ulikuwa kama wa enzi za kina chief Mangungo!

Bila Baraza la Maaskofu Tanzania kuingilia kati mlikuwa mshaingia cha kike

Samia kama atawekwa tena na usalama wa taifa kwa kushirikiana na hii tume mbovu ya uchaguzi ni kweli atarudi 2025 lakini kwa kura za wananchi sahau kitu kama hicho
Tunaposema CCM ni Chama makini na viongozi wake ni sikivu ndio muelewe ni kweli kabisa.....

kulikua na changamoto kidogo , wananchi wakatoa maoni yao na sauti za waTanzania zikaskizwa na kuzingatiwa kwenye mikataba.

Na mikataba ikasahihishwa na tayari baadhi imesainiwa na mambo ni bam bam yanasonga vizuri sana....
 
Kwa upendo wa wazi na wa dhati walionao wa Tanzania dhidi ya kiongozi huyu mkuu wa nchi, wanatamani aiongoze Tanzania bila ukomo, lakini ndio hivyo tena anaheshimu na kuitii katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya utaratibu ukomo wa uongozi.

Na kwahivyo baada ya ngwe zake kwisha atawaachia wengine waendelee pia.

Kiongozi huyu shupavu, madhubuti na mwenye mipango ya kuwaletea wananchi maendeleo, yuko imara hayumbishwi na chochote anachapa kazi kwa bidii, weledi, umahiri na umakini mkubwa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Anachapa kazi akiwa ndani ya nchi, anachapa kazi akiwa nje ya nchi. Tanzania ni tulivu, ulinzi na usalama watu na mali zao ni shwari na wa uhakika.

Maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi yanavyoshamiri nchini ndicho hasa kinachofanya wananchi wampende sana na kumuamini kiongozi huyu mkuu wa nchi.

Kwasababu wananchi wanafaidika na kunufaika na maboresho ya huduma zinazogusa maisha yao halisi mathalalani, katika sekta ya afya, Elimu, maji, kilimo, biashara, ufugaji , barabara, usafirishaji, usafiri wa anga na majini, uvuvi, ulinzi na usalama, uhuru wa maoni, uwazi serikalini, uwajibikaji kwa uchache sana.....

Masuala ya rushwa na utovu wa maadili katika utumishi wa umma yanashughulikiwa ipasavyo na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahusika bila huruma wala upendeleo na wahusika wanawajibika vilivyo kwa makosa yao.

Nionavyo mie, katika uchaguzi ujao wa 2025, endapo atagombea Urais, basi ni dhahiri atashinda kirahisi sana na kwa kishindo kikubwa mno hapajawahi kutokea. Rekodi ya utendaji wenye weledi, tija na matokeo kwenye maisha ya waTz inambeba.

Atashindana na nani sasa kwa mfano humu nchini? Kwa kweli hakuna, ila bila shaka kutakua na wasindikizaji.

Mungu Ibariki Tanzania.
Na wewe unalea familia kabisa
 
Huo ndio ukweli wenyewe kuwa Rais samia anapendwa na kukubalika na watanzania ni haijapata kutokea.ndio maana mamilioni ya watanzania wameiambia CCM kuwa wanamhitaji Rais samia katika uchaguzi ujao ili wampe kura za ndio kwa kishindo ,kusudi aendeleze kazi nzuri aliyoianza na iliyoleta matokeo chanya katika maisha ya mamilioni ya watanzania.

Rais samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe kuwaongoza na kuwainua watanzania.ni mpango wa Mungu kumtumia Rais samia kuwashika mkono na kuwapeleka mbele kimaendeleo Watanzania.
Unajijibu mwenyewe
 
Mpaka hao wadudu wanaingia mitaani na kusumbua watu ni dalili hakuna polisi wala usalama wa raia

Tunalala na kuamka kwa neema tu za mwenyezi Mungu huku police wakichukua mishahara na Rushwa Bure

Nchi inayo makaa ya mawe, inayo gesi, inayo madini ya uranium lakini bado mnategemea umeme wa maji na kugawa umeme kwa mgao, mnakata umeme usiku na kuacha mitaa giza bila polisi wala jeshi, wananchi wanaishi kama kuku

Nyie CCM ni vichaa msiojitambua
Na ukikaa kimya hao wadudu watakutafuna haswaaa...

Police sio malaika ni binadamu, yafaa wapewe taarifa sahihi na mapema na wadudu hao watakua slowed down mara moja
 
Back
Top Bottom