Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Ukishamnyanyasa sana mtu na kumnyima nafasi zote za kupumua usimchagulie silaha ya kutumia.Boycott ni muhimu kuliko violence.
Sisi tusimamie kwenye HAKI tutashinda.Ukishamnyanyasa sana mtu na kumnyima nafasi zote za kupumua usimchagulie silaha ya kutumia.
Haki ndo msingi wa amani.Sisi tusinamie kwenye HAKI tutashinda.
Haya ndio huwa matokeo yake......ukishatengeneza hasira zinazotokana na kunyimwa haki mambo kama haya hutamalaki kwa wingiUkishamnyanyasa sana mtu na kumnyima nafasi zote za kupumua usimchagulie silaha ya kutumia.
Kumbe Lissu na genge lake ni magaidi!!Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.
Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.
Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.
Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
Mbona octoba haijafuka?Haya ndio huwa matokeo yake......ukishatengeneza hasira zinazotokana na kunyimwa haki mambo kama haya hutamalaki kwa wingi
Pongezi ziwaendee CCM na kiongozi wao kwa mafanikio haya.Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.
Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.
Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.
Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
Tusiingie kwenye mtego wao wa violence kuwapa sababu matukio kama haya niyakukemea kwa nguvu mana yanaweza kufanyiana wao kwa wao kwaajili ya uongozi No reform No Election ni none violent movementWakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.
Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.
Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.
Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
Hivi unaakili timamu kweli tanzania usimame kwenye haki halafu ushindiSisi tusimamie kwenye HAKI tutashinda.
We ni nyumbu muoga sanaTusiingie kwenye mtego wao wa violence kuwapa sababu matukio kama haya niyakukemea kwa nguvu mana yanaweza kufanyiana wao kwa wao kwaajili ya uongozi No reform No Election ni none violent movement
Asante hatuingii kwenye mitego yenu sisiemu hilo jina sio geni sana mjiniWe ni nyumbu muoga sana
Duuuu! Sio mchezo.Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.
Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.
Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.
Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
Safari hii kazi mnayo nyie wezi wa taifa wananchi wanawashughulikia mdogo mdogoAsante hatuingii kwenye mitego yenu sisiemu hilo jina sio geni sana mjini
Sasa unafikiri tukiianza kuchoma moto assets za chama fulani ni sawa?!Hivi unaakili timamu kweli tanzania usimame kwenye haki halafu ushindi
Tanzania hamna haki Bora ulale kwako ukishindwa kufanya hivyo unafikiri haki inapatikana kirahisi hivyo etiSasa unafikiri tukiianza kuchoma moto assets za chama fulani ni sawa?!
Sisi tunapigania HAKI tusitumie njia BATILI.