imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Ndio maana nasema TUIPIGANIE.Tanzania hamna haki Bora ulale kwako ukishindwa kufanya hivyo

Utaipiganiaje kama vitu vidogo kama kuchoma Mali za wezi wa taifa unaogopaNdio maana nasema TUIPIGANIE.
Na kwa sababu wameona wakifanya movement za haki za wazi wanakamatwa saivi wanafanya movement za kimya kimya tena bila kula njama na watu wengi.Haya ndio huwa matokeo yake......ukishatengeneza hasira zinazotokana na kunyimwa haki mambo kama haya hutamalaki kwa wingi
Wamegundua hii ndo njia nyepesi ya kuwakomoa CCM ambao hawataki mabadiliko ili Wananchi waondokane na huu umaskini wa kutisha.Utaipiganiaje kama vitu vidogo kama kuchoma Mali za wezi wa taifa unaogopa
Inabidi na wewe ufanye hivyo huko ulipo sababu pia ni mwananchi sio kuwaachia mzigo watu wachache iwe kama Kenya kila sehemu kinanukaWamegundua hii ndo njia nyepesi ya kuwakomoa CCM ambao hawataki mabadiliko ili Wananchi waondokane na huu umaskini wa kutisha.
Tunaopekea ni pazuri. Uzuri wa hii movement inafanywa na Wananchi tena kimya kimya so huwezi ihusisha na Viongozi.Ndio mnahalalisha na wao waendelee kuwapoteza kimya kimya?
Tuipiganie kwa njia za AMANI.Utaipiganiaje kama vitu vidogo kama kuchoma Mali za wezi wa taifa unaogopa
Waliochoma watakamatwa. Na wakikamatwa, msije humu kulialia.Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.
Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.
Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.
Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.
Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.
Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.
Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
Hujielewi weweTuipiganie kwa njia za AMANI.
Kwanini Mkuu?Hujielewi wewe
Kama unaishi tanzania itakua hujielewiKwanini Mkuu?
Hii sio Fabrication ili kuleta hisia kwamba Siasa za Upinzani ni za Vurugu hivyo Tunazuia Shughuli zote za kisiasa kulinda amani??Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.
Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.
Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.
Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
Inside Job.....mwaka wa uchaguzi huu.Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.
Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.
Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.
Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
Uzuri movements za wananchi hazinaga ukomo.Waliochoma watakamatwa. Na wakikamatwa, msije humu kulialia.
Vyovyote vile wananchi wakichoka wana namna yao ya ku react.Inside Job.....mwaka wa uchaguzi huu.
Hata huo uharifu hawawezi kuwa wapinzani. Wapinzani hawana roho mbaya ya namna hiyo.Sasa unafikiri tukiianza kuchoma moto assets za chama fulani ni sawa?!
Sisi tunapigania HAKI tusitumie njia BATILI.
Ndio maana huwa tunasema SPANA🔧✅️
MATUSI❌️
Inawezekana pia, hawa jamaa CCM wana upumbavu mwingi sana mfano jinsi wanavyowatumia hao G55 unaona kabisa ndani ya CCM kuna uovu mwingi sana so wanafanya hivyo kuhakikisha wana stabilize situation ila naona wananchi pia wame erevuka sanaHii sio Fabrication ili kuleta hisia kwamba Siasa za Upinzani ni za Vurugu hivyo Tunazuia Shughuli zote za kisiasa kulinda amani??