Wananchi waanza kutuma Salamu za No Reform No Election

Wananchi waanza kutuma Salamu za No Reform No Election

Mbona nawe unanihukumu unaufaika wa uovu wa ccm? Kama upo

Hivi kweli vitani patakosekana majeruhi?

Mtu afanye uhaini tu halafu aachwe kisa tu kuogopa lawama?

Hao unaotaka waje nao ni binadamu wala si malaika wanaweza kutenda mabaya zaidi ya hayo ya ccm

Usiache mbachao kwa msala upitao
Sasa nimekuelewa bila ya shaka yoyote, mkuu wangu 'pye'. Ahsante sana kwa kunifungua macho.
 
Tusiingie kwenye mtego wao wa violence kuwapa sababu matukio kama haya niyakukemea kwa nguvu mana yanaweza kufanyiana wao kwa wao kwaajili ya uongozi No reform No Election ni none violent movement
Most painful fact uchumi unashuka kwa Kasi sababu ya dhurma
 
EeeenHEEeeeee!!
Mkuu 'Resi', huyo jamaa kakukosha sana naona; kafanya nini mkuu? Au ule msimamo wake wa kutowavurumisha waonevu kwa njia zao wenyewe wanazozitumia kuwaumiza waTanzania?
Kapinga sana yule jamaa wa CCM kule Mbeya kuchomewa gari lake. Hataki kabisa kusikia habari kama hizo zikifanyiwa watu wanaotuvuruga kila siku hapa.
Katika hili mimi sikubaliani naye.
Ndugu yangu Kalamu , pamoja na hilo la kutowavurumisha waonevu, mimi ni mpenzi sana wa mtu mwenye msimamo na anayeusimamia huo msimamo.
Mfano napenda vile ndugu Tindo anavyosimamia msimamo wake wa "jeshi kumaliza uovu" na ule wa "mwisho wa CCM utaletwa na machafuko".
Watanzania wengi wetu tumekuwa vigeugeu sana, ndio maana nikiona mwana JF anasimamia anachokiamini kwa muda mrefu bila kubadilishwa na chochote, huyo anakuwa ni Mtanzania na nusu (kwa muono wangu).
 
Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.

Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.

Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.

Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.

Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
Ni wapi unaokotea makopo?
 
Ndugu yangu Kalamu , pamoja na hilo la kutowavurumisha waonevu, mimi ni mpenzi sana wa mtu mwenye msimamo na anayeusimamia huo msimamo.
Mfano napenda vile ndugu Tindo anavyosimamia msimamo wake wa "jeshi kumaliza uovu" na ule wa "mwisho wa CCM utaletwa na machafuko".
Watanzania wengi wetu tumekuwa vigeugeu sana, ndio maana nikiona mwana JF anasimamia anachokiamini kwa muda mrefu bila kubadilishwa na chochote, huyo anakuwa ni Mtanzania na nusu (kwa muono wangu).
Na huu ndo ukweli kama Jeshi limeshindwa kuwaondoa CCM pamoja na mateso yote wanayosababisha kwa Wananchi basi Wananchi tufanye tunaloweza. Ni mwendo wa kimya kimya.
 
Back
Top Bottom