Wananchi waanza kutuma Salamu za No Reform No Election

Wananchi waanza kutuma Salamu za No Reform No Election

Tunaopekea ni pazuri. Uzuri wa hii movement inafanywa na Wananchi tena kimya kimya so huwezi ihusisha na Viongozi.

Wananchi wamegundua tu njia bora ya kuwalazimisha CCM kukubali mabadiliko
Yalishafanyika kama hayo na zaidi ya hayo, ila waliishia kupewa kesi za ugaidi na hata hawa watapewa kesi za ugaidi tu,

Hakuna wa kushindana na serikali inchi hii, bado sana, wengi wenu waoga tu
 
Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.

Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.

Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.

Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.

Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
 
Uzuri movements za wananchi hazinaga ukomo.
Sawa. Sisi Wahaya tuna msemo usemao, "Akashengo akatali kawe kashemera"!. Maana yake, "msala usio wako huburudisha"!
Wewe unafurahi hao jamaa wamechoma gari. Ni sawa kwako na unashadidia. Siku wakikamatwa, utarudi unasema wameonewa, wameonewa. Watahukumiwa na kufungwa.
Wazazi wao, wake au waume zao, watoto wao ndugu, jamaa na marafiki zao wataumia, lakini wewe itabaki humu UNAROPOKA TU bila kuwapa msaada wowote!

Rejea kwa Saanane, Mzee Kibao, Soka na wengineo. Mnawaweka front Kisha ninyi mnabaki KUROPOKA TU!!!
 
Kwa hiyo CCM ndo mmewaua Saanane, Soka, Kibao na wengineo wote wanaopotea na kuuwawa. Asante sana. Hii comment yako tutailaminate kabisa na kuitumia wakati sahihi.
 
Kwa hiyo CCM ndo mmewaua Saanane, Soka, Kibao na wengineo wote wanaopotea na kuuwawa. Asante sana. Hii comment yako tutailaminate kabisa na kuitumia wakati sahihi.
Litakuwa jambo jema sana. Ikiwezekana itengenezee bango kuuuuuubwa na uliweke pale Kijazi Interchange!
 
Tutawaonesha safari hii
Umeona kiongozi wenu vile amechukuliwa pale kariakoo sokoni leo? Yaani hadi aibu hata wafuasi angakau kumi tu wa chadema hawakujitokeza kusaidia au angalau kusema chochote,

Hivi kweli ndio mtaweza kuzuia uchaguzi?

Bado sanaaaa

NB
Mimi sio ccm na wala siipendi siasa, ila ukweli tuseme
 
Boycott ni muhimu kuliko violence,tusiwe kama wao.
'Violence' ya aina hii ni halali.
Wakati mwafaka ukiwadia na kama CCM wataendelea na ushetani wao, vibaraka wanao wawezesha kufanya uovu itakuwa halali ya wananchi.
kuharibu mali za vibaraka hawa, bila kudhuru uhai wao ni mbinu sahihi kabisa katika mapambano haya.
 
Umeona kiongozi wenu vile amechukuliwa pale kariakoo sokoni leo? Yaani hadi aibu hata wafuasi angakau kumi tu wa chadema hawakujitokeza kusaidia au angalau kusema chochote,

Hivi kweli ndio mtaweza kuzuia uchaguzi?

Bado sanaaaa

NB
Mimi sio ccm na wala siipendi siasa, ila ukweli tuseme
Sasa watu kumi hao ulitaka wafanye nini?
Vuta subira, hutaamini utakachokuwa ukikiona.
Elewa kwamba haya si mapambano ya CHADEMA pekee, haya ni mapambano ya wapenda HAKI wote; wawe ndani ya CHADEMA au nje ya chama hicho. Haya ni mapambano ya waTanzania wapenda haki.
Hutaweza kuwaona sasa hivi, lakini wakati utakapowadia utaona matendo yao. Na si lazima yawe ya kupigana na polisi kama unavyo tegemea wewe.
 
Naona kidogo akili zimeanza kuwaingia raia wema. Siku ambayo mafisadi watashindwa kutembea kwa uhuru ndani ya nchi hii ndipo siku ambayo watakubali kuwa ni vyema kutatua changamoto za raia.
 
Sasa unafikiri tukiianza kuchoma moto assets za chama fulani ni sawa?!

Sisi tunapigania HAKI tusitumie njia BATILI.

Ndio maana huwa tunasema SPANA🔧✅️
MATUSI❌️
Unategemea mabadiliko kwenye comfort zone, unafikiri mtesi wako atakaa siku akuone huruma. Never ever!!! Haki inadaiwa haiombwi!
 
Sisi tusimamie kwenye HAKI tutashinda.
hivi umesoma maelezo kama alivyo wasilishwa kwenye mada hapo juu?
Ni nani anayetaka 'violence' kama wao CCM?
Wewe unadhani Mandela na wenzake walipenda 'violence'; si walilazimishwa?
 
Hii sio Fabrication ili kuleta hisia kwamba Siasa za Upinzani ni za Vurugu hivyo Tunazuia Shughuli zote za kisiasa kulinda amani??
Kwani huko kwa Mandela kama ilivyo elezwa kwenye mada ilikuwaje?
Faida ya kufanya siasa ni nini iwapo ni ya udanganyifu tu kuendeleza unyimwaji wa HAKI?
 
Back
Top Bottom