Wananchi waanza kutuma Salamu za No Reform No Election

Mda utaongea, ila amini nakwambia hakuna lolote litakalotokea na ndio kwanza jamaa watafanya vile wanataka na maisha yatakwenda na nyimbo zitabaki hizo hizo na hata 30 hakuna kitakachobadili,

Hayakuanza leo haya, tangu 95 hivi nani ungemwambia mrema, lipumba na mtei ni mapandikizi akakuelewa,

Hivyo hivyo na kwa hawa wa sasa,
Ccm imejikita sana mizizi chini huko, jamaa ni wataalamu kupita maelezo, kuwaondoa ni haiwezekani au labda watake wenyewe
Unaweza kuwa sahihi; Uganda ya Mseveni ikiwa mfano halisi; lakini pia usisahau Kenya nako hali ilikuwa ya aina hiyo; Zambia, Malawi , Bangladesh, Gabon na kwingineko.
CCM ya Samia na Samia mwenyewe wanawapa matumaini mazuri sana waTanzania kuwepo kwa mabadiliko ya lazima.
Ni swala la wananchi tu kujuwa wajibu wao katika mabadiliko hayo; baada ya hapo hakuna nguvu nyingine yoyote inayoweza kuwazuia wenye nchi.
 
Wewe ndugu imhotep kama sio kiongozi hata wa Jumuiya/Msikiti, basi kama taifa tunapata hasara kubwa sana kwa kutotumia watu wenye busara, werevu na hofu ya Mungu kama wewe.
Ubarikiwe sana na najivunia kuwepo JF pamoja nawe.
EeeenHEEeeeee!!
Mkuu 'Resi', huyo jamaa kakukosha sana naona; kafanya nini mkuu? Au ule msimamo wake wa kutowavurumisha waonevu kwa njia zao wenyewe wanazozitumia kuwaumiza waTanzania?
Kapinga sana yule jamaa wa CCM kule Mbeya kuchomewa gari lake. Hataki kabisa kusikia habari kama hizo zikifanyiwa watu wanaotuvuruga kila siku hapa.
Katika hili mimi sikubaliani naye.
 
Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.

Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.

Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.

Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.

Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
mafisi wameanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe
 
Wamemuonea sana.Sasa maparachichi na mbalagha atabeba na nini?
 
Sio kwa 100% lakini nafuu kuliko fujo,udini na ubaguzi wa vyama vingine kwa kikanda na ukabila
Bado unaona nafuu kwa CCM?
Vyama gani hivyo unavyozungumzia kuhusu "fujo, ubaguzi wa kidini. kanda na ukabila?"

Kwa minajili wa hoja yako, tuache hivyo "vyama vingine" tuzungumzie chama kinachoelekea kuwa mpinzani mkuu wa CCM, CHADEMA. Bado unaamini CHADEMA inazo sifa hizo zinazokufanya uione CCM kuwa nafuu?
Hivi hujui kinachoendelea ndani ya CCM siku hizi. Mbona sifa hizo hizo ulizozitaja ndiyo zimajazana huko?

CCM haina nafuu yoyote. Chama kinacho lazimisha kubaki madarakani kwa nguvu kitakuwa na nafuu gani? Huoni kwamba chama hicho kimetufanya sote kuwa mateka wake na hatuwezi kamwe kujinasua kutoka kwenye umateka huo?

Fanya hivi: kubali hata CHADEMA mbovu itusaidie kuwaondoa hawa watekaji wetu angalau kwa muda tu. Wakisha tusaidia kutuondoa kwenye utumwa huo, tuwe na HAKI ya kuwachagua wengine kama wao hatuwataki. Hata kama baada ya hapo tutaona tuwarudishe CCM kwa hiari yetu, ni bora zaidi kuliko CCM yenyewe kutulazimisha ili waendelee kutuweka mateka.
 
Unadhani ukishawapa chadema hawatafanya wanayofanya ccm na au zaidi?

Unakumbuka bashiru alisemaje?

Hakuna kujaribu ni kufanya kwa uhakika angalau 90%
 
Akili zako zimegota; Kwamba unaona Watu kuwa Judge and Jury ndio Objectives za kuendelea ?

Unadhani ukishawapa chadema hawatafanya wanayofanya ccm na au zaidi?

Unakumbuka bashiru alisemaje?

Hakuna kujaribu ni kufanya kwa uhakika angalau 90%
nadhani utakuwa unazo sababu zako nyingine za kukubali umateka unaofanyiwa na CCM.
Kama CHADEMA watakuwa wamewekwa madarakani na nguvu zetu, kwa nini nguvu hizo hizo zisiweze kutumika kuwaondoa kama na wao watageuka kuwa kama CCM?

Utakuwa unazo sababu zako, pengine ni mnufaika huko huko ndani ya CCM.
Basi tuendelee na mengine.
 
Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.

Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.

Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.

Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.

Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
Nipo mlandizi nakaribia kwenye bus la shabiby kutoka dodoma.
 
nadhani utakuwa unazo sababu zako nyingine za kukubali umateka unaofanyiwa na CCM.
Kama CHADEMA watakuwa wamewekwa madarakani na nguvu zetu, kwa nini nguvu hizo hizo zisiweze kutumika kuwaondoa kama na wao watageuka kuwa kama CCM?

Utakuwa unazo sababu zako, pengine ni mnufaika huko huko ndani ya CCM.
Basi tuendelee na mengine.
Baada ya miaka 64?

Sina sababu zozote zaidi ya amani na utulivu
 
hayo yote ni matunda ya HAKI, ambayo sasa chini ya CCM haipo tena Tanzania.
Tanzania sasa hakuna "UTULIVU", kwa sababu watu wanatekwa na wengine kuuawa wengi wao wakihusishwa na mambo ya siasa - lakini ajabu ni kwamba wewe bado unaona Tanzania chini ya CCM kuna utulivu!
Tanzania sasa hivi hakuna AMANI. Vyombo vya dola vinavyotakiwa kulinda amani ndivyo vinavyofanya mambo ya kuvuruga amani; ajabu ni kuwa wewe bado unaona AMANI imetamalaki.
Au kwa vile wanaonyimwa utulivu huo na Amani hiyo ni watu wanaokataa matendo maovu ya CCM ambayo wewe ndiye mnufaika wake ndiyo sababu huoni upungufu wowote?
Sasa jaribu kujiweka kwenye nafasi ya upande wa pili; wanaopokea uvunjifu wa AMANI na kukosa UTULIVU; kwa sababu tu ya kutafuta HAKI ya kuongozwa na viongozi wanaowataka wao kwa kura zao katika chaguzi!
 
Hapa sikubaliani nawe kabisa, Tanzania kuna amani mpaka inamwagika,
Serikali inafanya kazi kubwa sana,

Mapungufu hayakosekani ila kwa uwiano nj i bora ya hawa kuliko kujaribu wenye makasiriko na visasi,

Lugha zo tu zinaashiri yaliyomo kwenye mioyo yao, nashauri tusibahatishe kama ni kufanya basi angalau 90% tena ikiwezekana na maandishi juu

Nasisitiza tena sina unufaika wowote zaidi ya kuwa huru kufanya shughuli zangu za kila siku kwa amani na utulivu

Hata hao wanaoshughulikiwa bila shaka ni wao wameanza chokochoko kama yule wa jana kwenda kufanya mkutano katikati ya shughuli za watu tena bila kibali kama sio fujo ni nini?
 
Nasisitiza tena sina unufaika wowote zaidi ya kuwa huru kufanya shughuli zangu za kila siku kwa amani na utulivu
Wewe tayari unahukumu watu ambao hata siku moja hawajapewa mamlaka waonyeshe wanachoweza kufanya. Unatumia hisia zako tu kutoa hukumu, huku ukighaili mifano hai ya ukosefu na uvunjifu wa UTULIVU na AMANI.
Unataka kitokee kitu gani ndipo ujue Tanzania hatuna amani tena?
Kwa nini hutaki HAKI ijenge utulivu na amani?

Nashukuru kwamba tunavyo endelea na majibishano haya nazidi kukuelewa zaidi unaposimamia. Unasisitiza uwepo wa AMANI, ambayo haiambatani na HAKI; yaani amani ya kulazimishwa na vyombo vya dola kwa kukandamiza wanaotaka Amani ya kweli inayotokana na HAKI.
Sina shaka tena juu yako, kwamba ni miongoni mwa kundi kubwa wenye imani hiyo ya uwepo wa AMANi wanayoijuwa wao wenyewe.
Unaweza kukana kutonufaika na CCM, lakini ujumbe unaouwasilisha hapa unaonyesha dhahiri kuwa kwa njia moja au nyingine ni mnufaika wa uovu wa CCM.
 
Mbona nawe unanihukumu unaufaika wa uovu wa ccm? Kama upo

Hivi kweli vitani patakosekana majeruhi?

Mtu afanye uhaini tu halafu aachwe kisa tu kuogopa lawama?

Hao unaotaka waje nao ni binadamu wala si malaika wanaweza kutenda mabaya zaidi ya hayo ya ccm

Usiache mbachao kwa msala upitao
 
Back
Top Bottom