Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Mfumo wanaoutaka una kasoro nyingi kwanza mkulima mdogo anaonewa, serikali kukosa mapato , lakini pia lengo hasa ni kuimarisha ushirika ambao ni msaada mkubwa kwa wakulima. Msikilize waziri wa kilimo Bashe ameliongeleaa sana hiliSawa lakini tatizo liko wapi wakiuza kwa jinsi wanavyotaka wao kuliko kuwalazimisha mfumo wenu utumike, kama mfumo wenu ni mzuri watautumia, na acheni mifumo mingi itumike, choice is everything