Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Pamoja na kubeba kila msanii nchi nzima na hata vyombo vya habari Mamluki kwenda Dodoma, lakini mambo ni Magumu.
Nimeona hata Waandishi waliopo huko ambao wengi ni Chawa wao akiwemo Rafiki yangu Maulid Kitenge hawajui Wamhoji nani na katika mada ipi, Yaani Waandishi wa Habari walioko Dodoma hata hawajui kwanini wako Dodoma! Hii ni Aibu sana! Mwisho wa siku wamejikuta wanawahoji watoto wa viongozi ambao hata hawahusiki na Jambo lenyewe, unamhoji January Makamba au Nape Nnauye Katika lipi sasa, Makalla anaongelea Mambo ya Chadema, anayeongelea ya CCM ni nani?
Jambo la Kufurahisha ni Mwitikio wa Wananchi, Kwa mara ya kwanza tangu nipate akili nimeona Wananchi wakipuuza kabisa Mkutano Mkuu wa ccm, hongera kwao. pamoja na kukurupua Wasanii wote lakini Wananchi hawajatikisika hata chembe! Na naomba kuchukua nafasi hii kuwatahadharisha Wasanii wa Tanzania kwamba, kuendelea kujiambatanisha na ccm ni kujichimbia kaburi la futi 100, Watapuuzwa muda si mrefu, Wananchi watarudi tena kwenye kupenda Rhumba za Congo, Wasome alama za Nyakati haraka sana, ccm ishakataliwa na Wananchi, Nguzo yao ni Dola na Watekaji (RIP ALLY KIBAO)
Bali Swali letu ni hili, Hali hii inatokana na nini, Kuchokwa kabisa kwa ccm au ni Taimingi mbaya ya Mkutano huu kushindanisha na Mkutano Mkuu kabambe wa Chadema? au ni yote kwa Pamoja?