Wananchi walishawapuuza. Mnatwanga maji kwenye kinu kufanya usanii wa kiaiasa. Ninyi ni matapeli wa kisiasa mlishashutukiwa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mbowe ni kibaraka wa CCM na watu walishampuuza kabisa.

Wananchi sasa wapo serious kupambana na maisha magumu hivyo hawataki usanii wa kipuuzi juu ya hatima maisha yao.

Kujifanya wajanja ili muchezee akili za wananchi wao walishashutuka ipo siku mtapigwa mawe hadharani.

Huu sio wakati wa Mbowe na genge lake kuchezea maisha ya watanzania.
 
Samia amekimbia nchi akiacha vilio Kwa watanzania labda mwenzetu kipofu huoni
 
Wacha wee!
 
Naww ukiwa kama mmoja wa hao wananchi kupuuza sio kwa njia hii... Mpaka utenge muda wa ku type....pole sana...baki huko huko hujapewa mwaliko
 
Ndio wapo mlimani wanakula na kunywa wewe upo huko hujui Una Kula nini [emoji23][emoji23]
 
MÀTAGA mmeachwa kwenye mataa,

Mama hataki siasa za kishamba za SUKUMA,
Mama anataka siasa za kimjini/pwani.
 
Kati ya walioachia nchi kuwa na bei isyoshukika ya pestroli, dizel, mafuta ya taa,mafuta ya kupikia pamoja a bei ya chakula na Mbowe ani anawachezea? Huna maana kabisa
 

Yani unatetea viongozi wanaoshindwa hata kushughulikia kupanda Bei kwa vitu.
 
Ndio faraja uliobaki nayo. Mlisema chadema imekufa, leo mmekuja na stori ya kuchezewa. Kama unachezewa basi unashida fulani.
Majinga kweli haya.... Kama chadema haina umuhimu wanafurukuta ya nn?
 
Mkuu tuwapinge Kwa hoja sijapenda Hiyo ya kwamba ni Chama cha matapeli ila point ni kwamba hawa wenzetu kuna sehemu wanapwaya sana

Britanicca
 
Mkuu mbona umebwatuka bila hoja? Nini hasa kiini cha mbwatuko huu?
 
Magufuli alishakufa wewe unafanya nini hapa JF?
 
Ongeza albamu ya kangala kwanza ndugu muuza,halafu titaweza ongeza vyema.😝
 
CHADEMA[emoji95] wako busy kupiga selfie [emoji1702] Mlimani City watupie kwenye mitandao. [emoji16]

-Kumbe wanapenda majengo mazuri? Sasa mbona miaka 30 wameshindwa hata kujenga Headquarters wanapangisha ubavu vichochoroni?

- Hiki ndiyo chama kinategemea tukipe dhamana kuongoza nchi?

NEVER!
 
Muuza kangaraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…