SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Siasa haina mwishoVioja Vya CCM Hivyo
Naye Baada Ya UDC Anahaha Tena
Kuanzia sasa hayo maeneo siwezi kusema kuna wajanja na wasomi ni wapuuzi kama pasco mayala wa JFWananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
Wananchi?Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
UwongoWananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
Hakuna mwananchi wa kumchukulia fomu mgombea wa CCM zaidi ya maigizo ,acheni kurubuni watuWananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
#Basila 4 Kawe#Hakuna mwananchi wa kumchukulia fomu mgombea wa CCM zaidi ya maigizo ,acheni kurubuni watu
UDC nje ya Dar ni njaa tupu. Wenye pesa ni maded!Vioja Vya CCM Hivyo
Naye Baada Ya UDC Anahaha Tena
Wabunge wote waliobebwa na marehem wana kazi ya kufanyagwaji boy atakutana na upinzani mzito wa ndani Safar hii.
Oysterbay ya wap?Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao