Tetesi: Wananchi wamchangia pesa Basila Mwanukuzi kugombea Jimbo la Kawe

Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
Wapumbavu hao, kwani aliwaambia hana pesa za kuchukua fomu, akishapata huo ubunge hao waliomchangia watanufaika na nini. Watu baada ya kujali maendeleo yao wanapoteza pesa na muda kwa maendeleo ya mtu mwengine.
 
Shigongo alikuwa anamuandika, Basi ra Raha Mwanukuzi😄😄
 
Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
Akipita mchakato ndani ya chama naknya barabarani kutoka Mwenge mpaka Posta
 
Wapumbavu hao, kwani aliwaambia hana pesa za kuchukua fomu, akishapata huo ubunge hao waliomchangia watanufaika na nini. Watu baada ya kujali maendeleo yao wanapoteza pesa na muda kwa maendeleo ya mtu mwengine.
Relax, ndio mambo ya drama za uchaguzi na kampeni la sivyo hakuna atakayejua upo na unaitaka nafasi
 
Back
Top Bottom