Ya hapa Dar ndio alipokulia huyo mtia niaOysterbay ya wap?
Kilema ndo Nani?Alivyokosa u-DC alianza vimaneno maneno kule insta, nikajua labda anataka kwenda kwa kilema
Anti-pasKilema ndo Nani?
Wakati ule alibebwa,na alitumia uongo mwingi na aliyoahidi ndio kabisa hayapo,Gwaji kwaheri bora akaimbe kwaya na aokoke sasagwaji boy atakutana na upinzani mzito wa ndani Safar hii.
Mbeleko hakuna, hata waliounga juhudi kibarua ni kizito sanaWabunge wote waliobebwa na marehem wana kazi ya kufanya
MmhWakati ule alibebwa,na alitumia uongo mwingi na aliyoahidi ndio kabisa hayapo,Gwaji kwaheri bora akaimbe kwaya na aokoke sasa
Anagombea kupitia chama gani? Kama ni Chadema sawa. Lakini kama ni CCM, hiyo hela akaanzishe kilimo cha mchicha.Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
Ukuu wawilaya alistafu au alitumbuliwa?Wananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao
Watunze hivyo vijisenti vyaoWananchi toka Oyster bay, Mikocheni, Kawe, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni na Bunju wamemchangia pesa ya kuchukua fomu na ya kampeni Miss Tanzania na Mkuu wa Wilaya Mstaafu Mheshimiwa Dr Basila Mwanukuzi ili kumuwezesha kunyakua Jimbo la Kawe kwenye uchaguzi Mkuu ujao