Tetesi: Wananchi wamchangia pesa Basila Mwanukuzi kugombea Jimbo la Kawe

Alivyokosa u-DC alianza vimaneno maneno kule insta, nikajua labda anataka kwenda kwa kilema
 
CCM hakuna democracy wataondoa jina la Gwajiboy, aje Chadema tusaidiane
 
Wabunge ni useless tunataka serikali za majimbo tuwe na magavana, mbunge hawezi kuamuru hata choo kijengwe kikajengwa, yeye ni mwakilishi tu, TUMENYIMWA HAKI YA KUCHAGUA VIONGOZI, tunaletewa makada wa chama waongoze mikoa na wilaya ambao hawajachaguliwa, UNELECTED LEADERS.
 
Anagombea kupitia chama gani? Kama ni Chadema sawa. Lakini kama ni CCM, hiyo hela akaanzishe kilimo cha mchicha.
 
Basila hanaga baya yuko poa tu,
Ila ni hawahawa wananchi ambao pia wamekesha mbele ya kanisa wakitaka kupigwa na polisi kwa ajili ya Gwajima?
Hii nchi ina safari ndefu sana
 
Ukuu wawilaya alistafu au alitumbuliwa?
 
Watunze hivyo vijisenti vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…