Na wewe nawe eti sasa umeibuka hujulikani ni CCM au ni mpinzani, alipokuwa rais Magufuli mkristo ukaingia mitini kaja muislamu umeibuka, patheticMama anafanya kweli, Reforms na Rebuilding zake si za kitoto.
Mtanzanianleo anagaiww mpakw eka 10 na serikali na anawezeshwa mwanzo mpaka mwisho, ni kama ndoto vile.
Mashirikanya umma yamekuwa ya umma kiukweli.
Hii ndiyo Reform Ambayo hakuna aliyeweza.kuifikiria au hata kuiota Tanzania.
Bangi haijawahi kumuacha mtumiaji salamaEleweni hili na ikiwezekana msipoteze muda kuweka Wagombea akina Lissu na Msigwa sijui na yule wa Tarime au Mbowe mwenyewe.
Labda mkatafute mgombea kutoka CCM, tutawaazima hata yeyote mnaemtaka ili angalau mthubutu lakini kwa wapinzani hawa nao wajua majina yao hakuna mwenye uwezo wa kushika dola.
Pambanieni Ubunge nako mtatapigwa sana labda mtaweza kushinda Jimbo Moja au mawili. Msipoteze muda kupambana na huyu mama hata muungane mia Moja hamuwezi kuifikia hekima yake.
CCM kuwashinda wapinzani kwa kura halali hilo limeshashindikana, kilichobaki ni kunajisi tu chaguzi. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura.Eleweni hili na ikiwezekana msipoteze muda kuweka Wagombea akina Lissu na Msigwa sijui na yule wa Tarime au Mbowe mwenyewe.
Labda mkatafute mgombea kutoka CCM, tutawaazima hata yeyote mnaemtaka ili angalau mthubutu lakini kwa wapinzani hawa nao wajua majina yao hakuna mwenye uwezo wa kushika dola.
Pambanieni Ubunge nako mtatapigwa sana labda mtaweza kushinda Jimbo Moja au mawili. Msipoteze muda kupambana na huyu mama hata muungane mia Moja hamuwezi kuifikia hekima yake.
Duuh!Utakuwa ni mchawi.
Ushindwe kwa jina la mama.
Yes yesMama anafanya kweli, Reforms na Rebuilding zake si za kitoto.
Mtanzania leo anagaiwa mpaka eka 10 na serikali na anawezeshwa mwanzo mpaka mwisho, ni kama ndoto vile.
Mashirika ya umma yamekuwa ya umma kiukweli.
Hii ndiyo Reform Ambayo hakuna aliyeweza kuifikiria au hata kuiota Tanzania.
Mama apokee maua yake.