Anaweza kuwa yuleyule kwa I'd tofauti tu maana wote chawa tuBilla kusoma jina nilidhani we Mwashambwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza kuwa yuleyule kwa I'd tofauti tu maana wote chawa tuBilla kusoma jina nilidhani we Mwashambwa.
Mayalla amelikeMama anafanya kweli, Reforms na Rebuilding zake si za kitoto.
Mtanzania leo anagaiwa mpaka eka 10 na serikali na anawezeshwa mwanzo mpaka mwisho, ni kama ndoto vile.
Mashirika ya umma yamekuwa ya umma kiukweli.
Hii ndiyo Reform Ambayo hakuna aliyeweza kuifikiria au hata kuiota Tanzania.
Mama apokee maua yake.
HahaaaaMayalla amelike
Kuna connection ya uchawa na ujinga hapoHahaaaa
.Eleweni hili na ikiwezekana msipoteze muda kuweka Wagombea akina Lissu na Msigwa sijui na yule wa Tarime au Mbowe mwenyewe.
Labda mkatafute mgombea kutoka CCM, tutawaazima hata yeyote mnaemtaka ili angalau mthubutu lakini kwa wapinzani hawa nao wajua majina yao hakuna mwenye uwezo wa kushika dola.
Pambanieni Ubunge nako mtatapigwa sana labda mtaweza kushinda Jimbo Moja au mawili. Msipoteze muda kupambana na huyu mama hata muungane mia Moja hamuwezi kuifikia hekima yake.