Mama anafanya kweli, Reforms na Rebuilding zake si za kitoto.
Mtanzania leo anagaiwa mpaka eka 10 na serikali na anawezeshwa mwanzo mpaka mwisho, ni kama ndoto vile.
Mashirika ya umma yamekuwa ya umma kiukweli.
Hii ndiyo Reform Ambayo hakuna aliyeweza kuifikiria au hata kuiota Tanzania.
Mama apokee maua yake.