pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Mbuzi kala mkeka! wameamua kumtosa kada wao eti gaidi! polisiccm peponi kwenu kamwe hamuwezi kufika hata kwa dawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa kuyumba dishHata Bavicha wanasema hivyo hivyo kuhusu Mbowe
Tuache vyombo vya usalama vifanye kazi yake!
Sasa wanasaji alikuwa hana mgodi wakati hadi mgodi waandishi wemepelekwa na wananchi?Under certain condition even common man can snap anytime.
Yeye si malaika
Comrade pole sana kwa huu msiba wa Kada wa mwenzako wa CCM Hayati AL haji Hamza.Hata Bavicha wanasema hivyo hivyo kuhusu Mbowe
Tuache vyombo vya usalama vifanye kazi yake!
Alichofanya hamza ni uhalifu,ila namna ambavyo suala lake limetazamwa sio sahihi hasa ukizingatia kwamba kuna vyanzo vingi sana vya taarifa ambazo zinaelekeza kabisa kwamba hii kesi inaweza kuwa kama ile kasi ya kila Abdalah Zombe isipokuwa tu huyu amekuwa na ujasiri wa kuchukua sheria mikononi.Wanaomtetea muuaji Hamza, Wamesikia yaliotokea leo huko New Zealand??? Mjamaa kajidai kuchoma watu visu kwa shopping mall. Polisi hawakumkawiza na hawakua na muda wa ETI tumkamate tukamhoji.. wamempeleka kuzimu fasta.
Lumumba mnafuga magaidiMagaidi siku zote huwa yanaonyesha roho ya huruma mbele za watu
Usiseme "mjamaa"wala mbepari sema: gaidi!Wanaomtetea muuaji Hamza, Wamesikia yaliotokea leo huko New Zealand??? Mjamaa kajidai kuchoma watu visu kwa shopping mall. Polisi hawakumkawiza na hawakua na muda wa ETI tumkamate tukamhoji.. wamempeleka kuzimu fasta.