Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Sawa.HATUTAENDA CHAUMMA ila PESA YAO TUTAILA VIZURI KABISA
Sasa mbona unaweweseka?Ipo kauli ilitolewa na bw. Lema akitaka watanzania wasiende kuhudhuria mikutano ya baadhi ya vyama, napinga kauli ya bw. Lema kwa nguvu zote, watanzania wanao wajibu wa kuhudhuria mikutano yote ya vyama kwa wingi kabisa, ili waweze kubaini ni yupi au chama gani kitawafaa kwa sababu kura ni siri yao, wenye vyama vyao wajibu wao ni kushawishi sera zao kukubaliwa na hatimaye wakavune kwenye sanduku la siri, mipaka yao inaishia hapo!
N. B,
NI UPUMBAVU MKUBWA, KUONA WATU WAMEJAZANA, NA UKAWATAFSIRI YA KUWA NI WAPIGA KURA WAKO!
-Umeingia vichwani mwao?
View attachment 3350438
Mwaka huu jasho litawatokaSasa mbona unaweweseka?
Hatupotezagi muda kuwasikiliza waliotufikisha hapa tulipo kama taifa.
Yaani tupoteze muda kuwasikiliza watekaji na wauaji?
Acha wasombe machawa wao kwa malori tu kama mifugo
Wawasombe tu, lakini potezea isikuume watu kusombwa wanasaidiwa usafiri kwa ukarimu.Sasa mbona unaweweseka?
Hatupotezagi muda kuwasikiliza waliotufikisha hapa tulipo kama taifa.
Yaani tupoteze muda kuwasikiliza watekaji na wauaji?
Acha wasombe machawa wao kwa malori tu kama mifugo
Hakuna cha jasho wala lolote, hakuna watu wame relax kama CCM, yaani worry out winning is by 99.9%Mwaka huu jasho litawatoka