Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
CCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
Ilishakufa kitambo, limebaki kundi la wajanja wachache wanatumia jina kwa maslahi binafsi.CCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
Jamba la ajabu kabisa, juzi wasukuma wamepewa baiskeli, cheki leo walivyompaisha Mpina alietangazwa wa hovyo... Hiv haya si matusi jamani?CCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
😆😆😆😆 Noma kweli yaani!!Jamba la ajabu kabisa, juzi wasukuma wamepewa baiskeli, cheki leo walivyompaisha Mpina alietangazwa wa hovyo... Hiv haya si matusi jamani?
CCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
Kwa hizi akili nakushauri uwe unakaa tu kimya usije ukaonekana kituko mbele za watu zingatia huu ushauri wanguHii ina maana ukiwachagua Upinzani mtakufa njaa na kuteketea kabisa, sbb hawana hela wala uwezo wa kuwaletea wananchi maendeleo, Upinzani kwa Tanzania ni sawa na Baba maskini fukara kara..!!
CCM ndio Chama pekee kina uwezo wa kutuletea maendeleo ya ukweli na uhakika..!!
Unampa demu pesa halafu demu anaenda mpea pesa jamaa mwingie. CCM wajitafakari😆😆😆😆 Noma kweli yaani!!
Maana yake umma wameelewa na kuafikiana zaidi na upinzani hususan kupitia kauli mbiu yake ya NRNECCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
Ni ule msemo wa CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA!!CCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
Upo jamvini humu kwa bahati mbaya. Ulitakiwa kuwa Milembe usawa huu!!!Hii ina maana ukiwachagua Upinzani mtakufa njaa na kuteketea kabisa, sbb hawana hela wala uwezo wa kuwaletea wananchi maendeleo, Upinzani kwa Tanzania ni sawa na Baba maskini fukara kara..!!
CCM ndio Chama pekee kina uwezo wa kutuletea maendeleo ya ukweli na uhakika..!!
Kwani si nimesikia kuchekiwa afya ya akili ni bure!!??Hii ina maana ukiwachagua Upinzani mtakufa njaa na kuteketea kabisa, sbb hawana hela wala uwezo wa kuwaletea wananchi maendeleo, Upinzani kwa Tanzania ni sawa na Baba maskini fukara kara..!!
CCM ndio Chama pekee kina uwezo wa kutuletea maendeleo ya ukweli na uhakika..!!
🤣 🤣 🤣 🔊Ayaaaaa!! Ushatoa siri!
Maana yake pesa wanazopewa na ccm ndio hizo wanatoa,Tonetone ChademaCCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
Wale walioanguka na lile lori la ng'ombe?Wahanga wa vifo ili kijana watu kwenye mkutano wa Bi Kizimkazi kila familia imepewa laki mbili na baiskeli
Ndiyo hao.Wale walioanguka na lile lori la ng'ombe?