Wananchi wanawapa hela upinzani huku CCM inawapa hela wananchi wawachague inatupa picha gani ?

Wananchi wanawapa hela upinzani huku CCM inawapa hela wananchi wawachague inatupa picha gani ?

Niko kwenye kijiji kimoja wananchi wanasema mbunge wao kawapa shilingi elfu kumi kumi, wanasema alikuja na milioni kadhaa akaanza kuwagawia yeye mwenyewe. Wanadai anaandaa mazingira ya kuja kuchaguliwa tena! Ukienda kwenye mikutano ya wapinzani mwishoni huwekwa vikapu mithili ya vile vya madhabahuni na wananchi hutoa fedha kama vile wako ibadani wakitoa sadaka
ITIKADI NI IMANI
 
Hii ina maana ukiwachagua Upinzani mtakufa njaa na kuteketea kabisa, sbb hawana hela wala uwezo wa kuwaletea wananchi maendeleo, Upinzani kwa Tanzania ni sawa na Baba maskini fukara kara..!!

CCM ndio Chama pekee kina uwezo wa kutuletea maendeleo ya ukweli na uhakika..!!
Mazi yako
 
CCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
CCM sio chama tena yaani lile lilishabakibi ni kundi la wahuni na ndio maana kila asemae ukweli kuhusu uhuni wao wanamteka kiongozi wao Samia.
 
CCM sio chama tena yaani lile lilishabakibi ni kundi la wahuni na ndio maana kila asemae ukweli kuhusu uhuni wao wanamteka kiongozi wao Samia.
 

Attachments

  • AQNL9KwvgNwOGe3X7iWw35pDYtTgm3PmnnSAtZlH282vFEEJ_TPg63tAkGfJAtwjxiJiImeK_MRsNkKaZyISS6Q3J_m1zj...mp4
    1.1 MB
Back
Top Bottom