Wananchi wasisitizwa Malezi Bora Kupata viongozi wanaochukia rushwa

Wananchi wasisitizwa Malezi Bora Kupata viongozi wanaochukia rushwa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
WhatsApp Image 2026-04-15 at 17.30.13.jpeg
Wananchi wa kata ya kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara wamesisitizwa kuendelea kutoa malezi bora kwa watoto ili kupata jamii yenye hofu ya Mungu na yenye kuchukia uhalifu na vitendo vya Rushwa.

Hayo yamebainishwa na Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi wa Polisi (INSP) Genuine Kimario wakati akitoa elimu hiyo kwa wananchi wa familia moja katani humo.

Ameongeza kuwa ili jamii iendelee kuwa na maadili inategemea msingi mzuri wa malezi yanayoanzia katika familia ambapo amesisitiza dhamira hiyo.
WhatsApp Image 2026-04-15 at 17.30.11.jpeg
 
Back
Top Bottom