Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasanii wao si ndy hao wanaopakwa vilainishi 😄Hiyo umeitengeneza mwenyewe, tunawajua nyie vibaka wa uvccm kwa kugushi.
Huyu jamaa ni mpotoshaji mkubwa sanaa,Ney hajaomba mchango kwa mtu yoyote yule hili jambo la mchango limeletwa na Roma mkatoiki huku twitaWasanii wao si ndy hao wanaopakwa vilainishi 😄
Ova
Kabisa roma ndio katoa hii idea na wadau wameipokea. Na ni jambo jema. Mbona mboga mboga mnawapaga wasanii mapesa sanaNey hajaomba ila Roma ndio alietoa wazo maana wasanii karibia wote wanaonekana ni machawa hio wamefanya kama kumpa moyo.
Siasa ni mfumo wa maisha ambao watu hujiwekea au huamini kwamba ndiyo njia bora ya kuishi! Mfano mfumo wa maisha kwenye Maji,nishati, barabara, afya ,mzikiSiasa sio kazi
Mbunge ni mwanasiasa,Siasa sio kazi
Wakuu wa mikoa na wilaya ni wanasiasaBado hujasema
Basi kusingeiuwa na vyama vya siasa, vyama vya siasa visinge ajiri na wabunge wasingekuwepo, kama hiyo ndio logic yakoSiasa sio kazi
Ameomba, maisha yamempiga, juzi nilipita karibu na nyumba yake, usiku ni giza totoro, hana hata LUKU