Wananchi waungana kumchangia Nay wa Mitego kwa ujasiri wake wa kupigania haki za wananchi kupitia muziki wake

Wananchi waungana kumchangia Nay wa Mitego kwa ujasiri wake wa kupigania haki za wananchi kupitia muziki wake

Status
Not open for further replies.

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Msanii Roma Mkatoliki aonesha upendo kwa msaa mwenzake Nay wa Mitengo kwa kuhamasisha wananchi wamchangie msanii Nay wa Mitego kama shukrani kwake kwa kupigania haki za wananchi.

Screenshot_20240925-130147.jpg

Nay
 
Madeleka pia anaitumia fursa vizuri ya kuomba michango ila hakunaga kesi ameshinda mahakamani Kabendera amekosa Mabillion ya vodacom kwaajili yake.
Kujinufaisha kupitia wanachama wa chadema ni rahisi sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom