Unaonaje sukuma gang wanavyokomeshwa na mama?
Mama anafungua nchi,
Mama anaupiga mwingi
Mama anawakomesha mataga sukuma gang na kufuta legacy
Mama anarudisha hela mtaani ili sisi mabavicha tuwe tunaziokota
Chanjo milion 1 zimeisha na wanachi wana haha kuzitafuta zingine zije haraka
Magaidi sasa yanakamatwa yako jela
Bashiru na polepole wanakiona cha moto
Uchumi juu
.
Bidhaa bei chini
Kodi chini
Sukuma gang wakome kabisa
Pumbavu umekosa point unaanza kupuyanga mbwa wewe!Tena wakome na watokomee mbali
Masukuma hayana tofauti na manyama tu
Hata atawale kichaa au mlevi ni sawa kwangu kuliko kupata mnyama tena
Viva Samia kazi iendelee
Yaani legacy ya upumbavu halafu inaungwa mkono na wananchi wengi!
Una maana taifa lina wapumbavu wengi!
Kuita watu wengi ni wapumbavu ndio upumbavu wenyewe!
Hoja yako haina mantiki yoyote!
Kwa hiyo unakubali kwamba mwendazake alikuwa na wafuasi wengi sana?
Na mimi huwa nawasokola mule mule!Yaani wanajichanganya sana kwenye hoja zao.
Hii inaonyesha hawajui mantiki ya hoja wanazozitoa.
Unakuta mtu anatoa hoja akidhani anapingana na hoja yako lakini hajui mantiki ya hoja yake inakubaliana na hoja yako!
Chizi gani amewahi kuongoza?Kwahiyo gwajima kutoa shutuma ambazo ameshindwa kuzithibitisha bado wananchi wengi wanashambulia wabunge? Ndio maana hata chizi anaweza kuongoza hii nchi kwa aina hiyo ya wananchi
We binadamu mbona kama una stress sana[emoji23][emoji23]
Hili jamaa umelipa nakoz za uso za kutosha haswa [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe kuandika tu kiswahili ni majanga, unadhani unaweza kujua na kuchambua vizuri hoja za Askofu Gwajima kama “sauti ya nyikani” na kinachoendelea nchini!
Wewe na mama yako ni misukuleSwala la chanjo Gwajima kapata uungaji mkono kwa wananchi wengi kwasababu kuu moja ni Legacy ya upumbavu wa Mwendazake kuwaongopea wananchi na kuwashawishi wananchi kuwa chanjo ni feki na kutumia kivuli Cha dini
Nawewe jitahidi mkuu kuwa hamasisha watu wachanje sio kazi rahisi ki hivyoSwala la chanjo Gwajima kapata uungaji mkono kwa wananchi wengi kwasababu kuu moja ni Legacy ya upumbavu wa Mwendazake kuwaongopea wananchi na kuwashawishi wananchi kuwa chanjo ni feki na kutumia kivuli Cha dini
wewe ni utakuwa roboti, huna maana na kichwani ni 0Swala la chanjo Gwajima kapata uungaji mkono kwa wananchi wengi kwasababu kuu moja ni Legacy ya upumbavu wa Mwendazake kuwaongopea wananchi na kuwashawishi wananchi kuwa chanjo ni feki na kutumia kivuli Cha dini
Mbona unateseka sana big?Gwajima sauti ya mtanzania gani? Labda mtanzania mjinga mjinga! Mbona kipindi Cha raisi aliyepita alikuwa athubutu kuzungumza? Gwajima ni mpiga dili tu! Samia ni number one
Muulize hiyo chanjo ukichanjwa huwezi ugua corona au ndo bado lazima uvae mibarakoa km kawa na kuugua corona kuko palepale .Mtu yeyote anae kimbilia kutukana huwa hana hoja.
Huyo mwandishi! amefupisha! sasa unaposema ''Majanga'' yako wapi hapo?Wewe kuandika tu kiswahili ni majanga, unadhani unaweza kujua na kuchambua vizuri hoja za Askofu Gwajima kama “sauti ya nyikani” na kinachoendelea nchini!
Kweli umemjibu Kama alivyo, hiyo ni hekima.vizuri sana na 50% mpk 80% ya wamarekani ambao wamekataa kuchanjwa na sasa wanapewa mrungura ili wachanjwe
itakuwa walisikiliza legacy ya kipumbavu ya mwendazake hasa baada video yake ya papai kukutwa na Corona kusambaa sana duniani
nimekupata sana bwana mkubwa
wamarekani wanamsikiza sana magufuri
Hawa ndiyo ndondocha wa Gwajima. Wamekariri anayosema. Chanjo yoyote (siyo ya korona tu) siyo kinga ya asilimia 100. Ukichanjwa chanjo ya korona unaweza kuambukizwa korona lakini uwezekano wa kuambukizwa unakuwa mdogo kuliko mtu ambaye hajachanjwa. Na ukiambukizwa uwezokano wa kuugua sana au kupoteza maisha ni mdogo kuliko mtu ambaye hajachanjwa.Ww mwenye akili hebu tuambie ukichanjwa huumwi corona ama huwezi ambukizwa korona ukijibu hilo basi nitaenda kuchanjwa
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Du! Kweli JF ni kubwa na ina watu wa kila aina. Huu ndiyo uzuri wa forum ya Internet. Unakutanisha kuanzia ma-houseboy wasio na elimu yoyote mpaka ma-CO wa makampuni makubwa kabisa.vizuri sana na wale 50% mpk 80% ya wamarekani ambao wamekataa kuchanjwa na sasa wanapewa mrungura ili wachanjwe
itakuwa walisikiliza legacy ya kipumbavu ya mwendazake hasa baada video yake ya papai kukutwa na Corona kusambaa sana duniani
nimekupata sana bwana mkubwa
wamarekani wanamsikiza sana magufuri
Mwandishi umeandika ukweli tupu, Tena umesema, Kitendo cha wananchi wengi kuwaunga mkono kina Gwajima na kuponda maamzi ya Bunge, basi bunge lijitafakari
Ni sahihi kabisa, na ndio ukweli, uungwaji mkono huo haijalishi waliounga mkono hawana shule kama lugha ya wanaojiona wao wanaakili nyingi kuwaita wanaowaunga mkono hawana shule na sijui walifanyia wapi li search yao kubaini kwamba hao hawana shule, kumbe nao ni wajinga tu, ila ni makundi makubwa ya watu wanao waunga mkono
Na uungwaji mkono na watu wengi, haijalishi waliounga mkono huo ni watu wa aina gani, lakini ukweli ni kwamba, ni wengi, basi!
Ni lazima maamzi ya uonevu yaangaliwe kwa upya
Thats also what I think...Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona.
Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika kutoa habari.
Kama ukitaka kujua mawazo ya wananchi wengi angalia sehemu ya maoni hasa kama wachangiaji wamekuwa zaidi ya 800.
Wabunge waliochangia maazimio ya Kamati ya bunge ambao waliwashambulia Askofu Gwajima na Jerry Silaa wameshambulia sana na wananchi kwenye sehemu ya maoni.
Kwa taasisi yenye watu mwenye akili timamu na ambao wanatumia fikra timamu katika kuchambua maswala mbali mbali watayachukua maoni ya wananchi kama picha na kiakisi kwa yale wanayofanya kama bunge na serikali.
Mfano ni hii video ya YouTube ambayo baadhi ya wabunge walikuwa wanawashambulia kina Askofu Gwajima na Jerry Silaa ambayo imepata wachangiaji zaidi ya 1000. Soma maoni ya wachangiaji utagundua kinachoendelea katika fikra za watanzania wengi.
VIDEO:
Kwa maoni haya ya wananchi ni lazima Bunge na Serikali wajitathimini kwa yale wanayoyafanya kwa sababu inaonekana hayana maslahi kwa wananchi wengi!
Bunge na serikali wanatakiwa wajue Askofu Gwajima na Jerry Silaa ni sauti ya watanzania wengi walioko “nyikani”.
Serikali na bunge waache “kushupaza shingo” kama hawataki kuvunjika kwa sababu kwenye siasa hakuna watu wajinga na wasio wajinga bali kuna watu wanakubaliana na serikali au hawakubaliani na serikali.
Mmarekani aitwaye George Carlin aliwahi kusema, “Never underestimate the power of stupid people in large groups.”
Muda ni mwalimu wa kweli!