Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Hakuna mwananchi asiyelipa kodi sema wafanyabiashara ambao kimsingi ni mawakala tu wa kodi ndiyo wengine wanazila hizo kodi wanazokusanya toka kwa wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna Elimu ya Kodi ndio shida,ndio Maana Kodi kubwa tunawekewa kwenye Indirect Tax,Ili ionekane hulipi,Kila mtanzania analipishwa Kodi isiyo ya Moja Kwa Moja.mpaka Watoto wachanga wanalipa.Kwema Wakuu!
Taifa ambalo wananchi wanaolipa kodi ni robo tuu ya idadi ya Watu lazima viongozi wawe na nguvu kuliko raia. Zaidi mafisadi huneemeka kwenye nchi za namna hiyo
Kwa sababu watakaolipa kodi ndio watakaokuwa na uchungu na nchi. Watakaokuwa na uchuñgu na kodi wanayoitoa.
Sasa kama robo tuu ndio wanaotoa kodi unafikiri wataweza kupambana na robo tatu iliyobakia. Hawataweza.
Raia ambaye halipi kodi atawezaje kupambana nd viongozi mafisadi?
Mtaani sio ajabu robo tatu ya wafanyabishara hawalipi kodi. Wajasiriamali hawalipi kodi. Bodaboda sijui fundi gereji, fundi nguo, mama nitilie. Hao watakuwaje na uchungu na mafisadi?
Ôooh! Taikon hakuna mtu asiyelipa kodi. Ukinunua kitu au kupata huduma yoyote ukatoa pesa inalipa kodi indirect.
Hiyo najua.
Lakini indirect Tax haiumi kama Direct Tax.
Pesa ya kutoa kwa mkono inauma kuliko pesa hewa ambayo inakatwa juu kwa juu bila kupitia mikononi mwako.
Moja ya njia kukomboa nchi dhidi ya mafisadi ni kuhamasisha Watu walipe kodi kwa wingi angalau nusu au robotatu ya watazania walipe kodi.
Alafu utaona mtiti wake.
Wengi ni wengi tuu.
Serikali za kifisadi kikawaida hazitii ñguvu kubwa kuongeza idadi ya walipa kodi izidi wasiolipa kwa sababu matokeo yake huwa magumu ingawaje yanatija kwa maendeleo ya nchi.
Hivi uliona wapi mtu mzalendo anahitaji mambo ya burebure ilhali nchi ni maskini.
Ukishaona wewe ni maskini alafu serikali yako haitaki uchangie hata kidogo elewa huo ni mkakati wa kukufanya usiwe na nguvu daima.
Mnataka elimu bure wakati nchi ni maskini. Uliona wapi uzalendo unajengwa bila wananchi kugharamia ili wapate maumivu ya kile kizuri wanachohitaji?
Mnataka Afya sijui Dawa bure. Maskini bado utake bure.
Matajiri ndio hupewa vitu bure kwa sababu tayari walishalipia gharama.
Wananchi lazima waambiwe ukweli kuwa kodi na michango yao hata kama ni kidogo ndio itakayowapa huduma.
Watu wajengewe uzalendo kwa kujipigania hata kwa kile kidogo ili viongozi wao wasipate sababu ya kuwatawala kwa njia za dhulma.
Sio ajabu ukasikia kiongozi mmoja mpumbavu akimwambia mtu anayepigania Haki fulani akisema, tumekusomesha bure alafu leo sisi ndio wabaya. Bila sisi kukusomesha bure ungekuwa hapo ulipo? Embu kuwa na shukrani.
Yaani baadaye itakuwa ni lazima ukae kimya ukiona wale waliokupa burebure kama hisani ya kukusomesha.
Ukisema kodi za wananchi ndio zilikusomesha akiwepo mzazi wako. Huyo mzazi wako hana hata leseni yoyote na hajawahi kulipa kodi yoyote Direct.
Ukisema wananunua vitu unauhakika gani hivyo vitu vimelipiwa kodi?
Mangi unayenunua vitu halipi kodi. Pengine sehemu ambayo mangi ananunulia mzigo wake ndiye halipi kodi.
Hujasikia kuna Watu wanapitisha mizigo bandarini bila kulipa kodi.
Kama wapo kwa nini unasema unalipa kodi indirect Kwa kununua vitu kwa Mangi au dukani.
Huoni upo uwezekano wa kununua bidhaa ambayo haijawahi kulipiwa kodi?
Viongozi wa serikali wanajiamini kwa sababu wanajua robo tatu ya watanzania hawalipi kodi.
Hivyo ulileta fyokofyoko wanaanzia na shughuli unayoifanya ambayo hauna kibali wala huna mpango wa kuwa nacho ili ulipe kodi.
Mhalifu mdogo hawezi mdhibiti mhalifu Mkubwa.
Wenye haki wachache hawawezi kuwashinda wasiohaki waliowengi.
Unafikiri kama Watu wengi wangekuwa wanalipa kodi kungekuwa na hayo mambo ya Kikokotoo.
Lakini walipa kodi wachache lazima wamenyeke vilivyo ili serikali iendeshe mambo yake
Acha nipumzike.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Unafikiri nini kusema walipa kodi ni wachache?Unafikiri nini unaposikia mtu ni Fisadi?
Hao mafisadi si ndio haohao wazalishaji wanaowauzia wananchi hizo bidhaa mnazosema zimelipiwa kodi
Huyo hajui kitu hajui kwamba hata mfuko wa cement ukiondolewa kodi tunaweza nunua hata elfu 10 tu, hajui kila bajeti ikisomwa ndiyo inayoamua vitu vpande bei au visipande sababu ya kodi huyo ni kichaa.Unafikiri nini kusema walipa kodi ni wachache?
Unafikiria nini mtu kuambiwa haulipi kodi wakati kila huduma unayopata unalipa VAT?
Unafikiri nini kusema walipa kodi ni wachache?
Unafikiria nini mtu kuambiwa haulipi kodi wakati kila huduma unayopata unalipa VAT?
Huyo hajui kitu hajui kwamba hata mfuko wa cement ukiondolewa kodi tunaweza nunua hata elfu 10 tu, hajui kila bajeti ikisomwa ndiyo inayoamua vitu vpande bei au visipande sababu ya kodi huyo ni kichaa.
Ujue we jamaa huwa ninakukubali sn lakin nashangaa leo unaandka pumba tu. Hivi hujui kila bidhaa unaponunua ile bei si halisi inakuwa si halisi sababu ya kodi. Uliwahi jiuliza kwann petrol Zambia 🇿🇲 bei iko chini kuliko tz na wakati mafuta hayo yanapita hapa bongo issues ni kodi. Nenda kafanye utafiti kiwanda cha cement utapata majibu kwann cement inauzwa bei hiyo. Wakati wangeweza uza hata elfu 10.Wéwe ndio huelewi hata ninachozungumzia.
Huo mfuko wa cement unaosema unauhakika gani umelipiwa kodi? Hilo ndio swali
Mkuu, pata kwanza elimu ya mlipa kodi ndiyo uje umwage madini yako hapa.Kwema Wakuu!
Taifa ambalo wananchi wanaolipa kodi ni robo tuu ya idadi ya Watu lazima viongozi wawe na nguvu kuliko raia. Zaidi mafisadi huneemeka kwenye nchi za namna hiyo
Kwa sababu watakaolipa kodi ndio watakaokuwa na uchungu na nchi. Watakaokuwa na uchuñgu na kodi wanayoitoa.
Sasa kama robo tuu ndio wanaotoa kodi unafikiri wataweza kupambana na robo tatu iliyobakia. Hawataweza.
Raia ambaye halipi kodi atawezaje kupambana nd viongozi mafisadi?
Mtaani sio ajabu robo tatu ya wafanyabishara hawalipi kodi. Wajasiriamali hawalipi kodi. Bodaboda sijui fundi gereji, fundi nguo, mama nitilie. Hao watakuwaje na uchungu na mafisadi?
Ôooh! Taikon hakuna mtu asiyelipa kodi. Ukinunua kitu au kupata huduma yoyote ukatoa pesa inalipa kodi indirect.
Hiyo najua.
Lakini indirect Tax haiumi kama Direct Tax.
Pesa ya kutoa kwa mkono inauma kuliko pesa hewa ambayo inakatwa juu kwa juu bila kupitia mikononi mwako.
Moja ya njia kukomboa nchi dhidi ya mafisadi ni kuhamasisha Watu walipe kodi kwa wingi angalau nusu au robotatu ya watazania walipe kodi.
Alafu utaona mtiti wake.
Wengi ni wengi tuu.
Serikali za kifisadi kikawaida hazitii ñguvu kubwa kuongeza idadi ya walipa kodi izidi wasiolipa kwa sababu matokeo yake huwa magumu ingawaje yanatija kwa maendeleo ya nchi.
Hivi uliona wapi mtu mzalendo anahitaji mambo ya burebure ilhali nchi ni maskini.
Ukishaona wewe ni maskini alafu serikali yako haitaki uchangie hata kidogo elewa huo ni mkakati wa kukufanya usiwe na nguvu daima.
Mnataka elimu bure wakati nchi ni maskini. Uliona wapi uzalendo unajengwa bila wananchi kugharamia ili wapate maumivu ya kile kizuri wanachohitaji?
Mnataka Afya sijui Dawa bure. Maskini bado utake bure.
Matajiri ndio hupewa vitu bure kwa sababu tayari walishalipia gharama.
Wananchi lazima waambiwe ukweli kuwa kodi na michango yao hata kama ni kidogo ndio itakayowapa huduma.
Watu wajengewe uzalendo kwa kujipigania hata kwa kile kidogo ili viongozi wao wasipate sababu ya kuwatawala kwa njia za dhulma.
Sio ajabu ukasikia kiongozi mmoja mpumbavu akimwambia mtu anayepigania Haki fulani akisema, tumekusomesha bure alafu leo sisi ndio wabaya. Bila sisi kukusomesha bure ungekuwa hapo ulipo? Embu kuwa na shukrani.
Yaani baadaye itakuwa ni lazima ukae kimya ukiona wale waliokupa burebure kama hisani ya kukusomesha.
Ukisema kodi za wananchi ndio zilikusomesha akiwepo mzazi wako. Huyo mzazi wako hana hata leseni yoyote na hajawahi kulipa kodi yoyote Direct.
Ukisema wananunua vitu unauhakika gani hivyo vitu vimelipiwa kodi?
Mangi unayenunua vitu halipi kodi. Pengine sehemu ambayo mangi ananunulia mzigo wake ndiye halipi kodi.
Hujasikia kuna Watu wanapitisha mizigo bandarini bila kulipa kodi.
Kama wapo kwa nini unasema unalipa kodi indirect Kwa kununua vitu kwa Mangi au dukani.
Huoni upo uwezekano wa kununua bidhaa ambayo haijawahi kulipiwa kodi?
Viongozi wa serikali wanajiamini kwa sababu wanajua robo tatu ya watanzania hawalipi kodi.
Hivyo ulileta fyokofyoko wanaanzia na shughuli unayoifanya ambayo hauna kibali wala huna mpango wa kuwa nacho ili ulipe kodi.
Mhalifu mdogo hawezi mdhibiti mhalifu Mkubwa.
Wenye haki wachache hawawezi kuwashinda wasiohaki waliowengi.
Unafikiri kama Watu wengi wangekuwa wanalipa kodi kungekuwa na hayo mambo ya Kikokotoo.
Lakini walipa kodi wachache lazima wamenyeke vilivyo ili serikali iendeshe mambo yake
Acha nipumzike.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Sasa ikiwa ya magendo kosa ni la nani?Wewe unauhakika gani bidhaa unayonunua imelipiwa kodi na sio bidhaa za kimagendo?
Halafu zinaishia kuliwa na kundi la mchwaMkuu, pata kwanza elimu ya mlipa kodi ndiyo uje umwage madini yako hapa.
Raia yeyote wa nchi hii aliyepo hai ni mlipa kodi bila kujali umri ama status yake.
Kwa mfumo wetu wa kodi usivyo rafiki, watu wengine wanalipa kodi zaidi ya mara moja: mf.
Mfanya kazi anakatwa Payee kwenye mshahara wake, akienda Bank kutoa pesa anakumbana na tozo za miamala, akienda dukani kununua bidhaa anakumbana na Vat.
Na hiyo Vat ipo kila kona ya mauzo, hivyo bidhaa moja inaweza kulipiwa Vat zaidi ya moja.
Kifupi ni hivyo kuna utitiri wa kodi usio na mpangilio kwa kila mwananchi.
Kuna wakati unaoneka critical thinker (na nadhani ni kweli), huu upuuzi wa leo umeutoa wapi?Utajuaje bidhaa uliyonunua imelipiwa kodi?
Kama wewe shughuli zako unatengeneza na kuuza haulipo kodi kwa nini unaamini bidhaa uliyonunua kwa mtu mwingine imelipiwa kodi hivyo kwa kuinunua nawe umelipa kodi?
Mfano, Unanunua kiatu, unauhakika gani kimelipiwa kodi?
Wafanya kazi na waajiriwa ndio kundi pekee linalokamuliwa kodiKwema Wakuu!
Taifa ambalo wananchi wanaolipa kodi ni robo tuu ya idadi ya Watu lazima viongozi wawe na nguvu kuliko raia. Zaidi mafisadi huneemeka kwenye nchi za namna hiyo
Kwa sababu watakaolipa kodi ndio watakaokuwa na uchungu na nchi. Watakaokuwa na uchuñgu na kodi wanayoitoa.
Sasa kama robo tuu ndio wanaotoa kodi unafikiri wataweza kupambana na robo tatu iliyobakia. Hawataweza.
Raia ambaye halipi kodi atawezaje kupambana nd viongozi mafisadi?
Mtaani sio ajabu robo tatu ya wafanyabishara hawalipi kodi. Wajasiriamali hawalipi kodi. Bodaboda sijui fundi gereji, fundi nguo, mama nitilie. Hao watakuwaje na uchungu na mafisadi?
Ôooh! Taikon hakuna mtu asiyelipa kodi. Ukinunua kitu au kupata huduma yoyote ukatoa pesa inalipa kodi indirect.
Hiyo najua.
Lakini indirect Tax haiumi kama Direct Tax.
Pesa ya kutoa kwa mkono inauma kuliko pesa hewa ambayo inakatwa juu kwa juu bila kupitia mikononi mwako.
Moja ya njia kukomboa nchi dhidi ya mafisadi ni kuhamasisha Watu walipe kodi kwa wingi angalau nusu au robotatu ya watazania walipe kodi.
Alafu utaona mtiti wake.
Wengi ni wengi tuu.
Serikali za kifisadi kikawaida hazitii ñguvu kubwa kuongeza idadi ya walipa kodi izidi wasiolipa kwa sababu matokeo yake huwa magumu ingawaje yanatija kwa maendeleo ya nchi.
Hivi uliona wapi mtu mzalendo anahitaji mambo ya burebure ilhali nchi ni maskini.
Ukishaona wewe ni maskini alafu serikali yako haitaki uchangie hata kidogo elewa huo ni mkakati wa kukufanya usiwe na nguvu daima.
Mnataka elimu bure wakati nchi ni maskini. Uliona wapi uzalendo unajengwa bila wananchi kugharamia ili wapate maumivu ya kile kizuri wanachohitaji?
Mnataka Afya sijui Dawa bure. Maskini bado utake bure.
Matajiri ndio hupewa vitu bure kwa sababu tayari walishalipia gharama.
Wananchi lazima waambiwe ukweli kuwa kodi na michango yao hata kama ni kidogo ndio itakayowapa huduma.
Watu wajengewe uzalendo kwa kujipigania hata kwa kile kidogo ili viongozi wao wasipate sababu ya kuwatawala kwa njia za dhulma.
Sio ajabu ukasikia kiongozi mmoja mpumbavu akimwambia mtu anayepigania Haki fulani akisema, tumekusomesha bure alafu leo sisi ndio wabaya. Bila sisi kukusomesha bure ungekuwa hapo ulipo? Embu kuwa na shukrani.
Yaani baadaye itakuwa ni lazima ukae kimya ukiona wale waliokupa burebure kama hisani ya kukusomesha.
Ukisema kodi za wananchi ndio zilikusomesha akiwepo mzazi wako. Huyo mzazi wako hana hata leseni yoyote na hajawahi kulipa kodi yoyote Direct.
Ukisema wananunua vitu unauhakika gani hivyo vitu vimelipiwa kodi?
Mangi unayenunua vitu halipi kodi. Pengine sehemu ambayo mangi ananunulia mzigo wake ndiye halipi kodi.
Hujasikia kuna Watu wanapitisha mizigo bandarini bila kulipa kodi.
Kama wapo kwa nini unasema unalipa kodi indirect Kwa kununua vitu kwa Mangi au dukani.
Huoni upo uwezekano wa kununua bidhaa ambayo haijawahi kulipiwa kodi?
Viongozi wa serikali wanajiamini kwa sababu wanajua robo tatu ya watanzania hawalipi kodi.
Hivyo ulileta fyokofyoko wanaanzia na shughuli unayoifanya ambayo hauna kibali wala huna mpango wa kuwa nacho ili ulipe kodi.
Mhalifu mdogo hawezi mdhibiti mhalifu Mkubwa.
Wenye haki wachache hawawezi kuwashinda wasiohaki waliowengi.
Unafikiri kama Watu wengi wangekuwa wanalipa kodi kungekuwa na hayo mambo ya Kikokotoo.
Lakini walipa kodi wachache lazima wamenyeke vilivyo ili serikali iendeshe mambo yake
Acha nipumzike.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Ni kazi ya nani kuhakikisha kodi ninayokatwa kama mlaji wa mwisho inafika serikalini?Wéwe ndio huelewi hata ninachozungumzia.
Huo mfuko wa cement unaosema unauhakika gani umelipiwa kodi? Hilo ndio swali
Sio kundi pekee, sema ndilo kundi linalokamuliwa kodi maradufuWafanya kazi na waajiriwa ndio kundi pekee linalokamuliwa kodi
Umemtukana lakini yuko sahihi kwa kiwango kikubwa..Kuna wakati unaoneka critical thinker (na nadhani ni kweli), huu upuuzi wa leo umeutoa wapi?
Nnaponunua bidhaa iwe jumla au rejareja obvious nimelipa kodi,nnaposafiri nimelipa kodi,nikinunua vocha/kutuma hela/kutoa hela nimelipa kodi.Nnapoenda hos nnalipa kodi yaan kiujumla kila nnachotaka kukifanya hapa Tz nnalipa kodi there is no anywhere kwenye uafadhali.Kwema Wakuu!