KAMA KOSA LILIKUA LAKE FANYA HIVI, USIJISHUSHE KAMWE MWACHE YEYE AKUANZE.
acha matumizi kama kawaida weka mezani usiongee chochote wala usiage zunguka zunguka hapo nje ashtukie umeshaondoka. Chelewa kurudi nyumbani, na usiwe unakula chakula chake, usiwe na time nae kabisa hata tamuu usimwambie akupe piga kimnya kama unamchepuko kula huko urudi umeshiba, pia siku moja moja uwe unarudi nyumbani huku umevaa nguo ambayo haijui. Hapo asipo ongea tafuta namna ulale nje ya nyumba siku kadhaa na ujiamini hata akiuliza ulikua wapi usimjibu